Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,347
- 17,671
Nina miaka 88,nina miliki nyumba moja ya matope na nyasi,kuku kumi wa kienyeji,shamba la heka sita na na sikumbuki nina watoto na wajukuu wangapi.
HahahaMimi nina miaka 23
Sijaoa, sina watoto, kwa sahv namiliki simu, na mawazo ya milioni kichwani
madanga kama7 hivi! af yote yanikopa tuumaisha haya!

siku panga hata ku post comment hapa, Ila you brought me in. Aisee, unamiliki mke. Hivi mke nae ni miongoni mwa mali?
Mbona ka halihusiani na hili au nimesoma vibaya, hii inatakiwa iwe uzi unaojitegemeaMiaka 25-40 unakaa kwenu huta hata godoro halaf unajichetua kuwa unataka mahusiano na mtu chefuuuuuuuuu kwa bbc haina dili, mambo yote abroad mambo ya usd shilling peleka gengeni huko
Haaaa mke tena uongeze shsurina na bi mkubwa kwanzaNina Miaka 45.
Nina mke mmoja na watoto watatu. Nina kighorofa floo mbili hapa hapa Mapinga.
Nina Biashara zifuatazo
1. Nina duka la vipodozi hili analiendesha mke wang
2. Nina saloon ya kiume hii ni kwa matumiz madogo ya home
3. Nina kigari kidogo cha kuzugia Passo
4. Nina mashamba 50hekari
5. Mwakani naongeza mke wa pili
UbarikiweBinafsi umri miaka 29 sina nyumba yakwangu ila nimemjengea mama kijijini nyumba ya milion25 nina wadogo zangu wawili mmoja miaka 23 nimemnunulia machine tatu za kuchomelea machine ya kupulizia rangi na vifaa vyote vinavyoitajika kwenye kazi yake,mdogo wangu wa pili ana miaka 26 Yeye janja njanja nyingi nimemnunulia kamchomoko kamoja anapiga shantingi mjini mama nimemfungulia kiduka ja rejareja kijijini cha milioni nne nimefanya hvyo ili nikianza familia yangu dipendants wangu wawe wachache sasa hv najenga nyumba mjini na mwakani mungu akipenda nafungua kiduka changu cha kunisaidia, sijaajiliwa napiga mishe town japo nina kashaada kangu kafedha mipango na uwekezaji.
hahahahaha asanteesiku panga hata ku post comment hapa, Ila you brought me in.
Pole sana
Urembo uliojaaliwa na maulana ni Mali pia bestNamiliki roho tu
hahahahaha asantee
Hadi naogopa kutaja dah!