October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Njoo nikipe.Nina business idea sina mtaji
Njoo nikipe.Nina business idea sina mtaji
Mimi nina miaka 48 similiki chochote hata hii simu ninayotumia hapa nimeazima kwa mtu.Thad, mbona wewe hujatuambia unamkomalia mwenzio, jamani jisikieni huru kuweka mambo hadharani, inasaidia kujitathmini kama uko kwenye track sahihi

HahahhahBado miaka 8 ulambe mafao ya hiari
Mbona hukunitafuta?nilikumiss mno siku mbili tatu hizi

Hua sometimes hupitii PM yako kwa muda mrefuMbona hukunitafuta?![]()

Hii kweli ubongokidMimi mwamume umri 35,Namiliki wake wawili watoto wanne,vitanda 5 na godoro zake Sina nyumba sina gari sina kiwanja,sina kazi,sina pesa Natunzwa tu na wake zangu.Kwa sasa hivi natafuta mke wa tatu awe na miaka 30 anayejiweza.
Hivi kumbe huna namba ya jirani yangu?Hua sometimes hupitii PM yako kwa muda mrefu![]()

Kwa n v pHii kweli ubongokid
Hata yako tu sina.kila siku unanipiga kalendaHivi kumbe huna namba ya jirani yangu?![]()

Ndio picha yako hii hapo juu ?Mimi nina miaka 48 similiki chochote hata hii simu ninayotumia hapa nimeazima kwa mtu.
Wewe je, wamiliki nini?![]()
VIUNGO VYANGU VYA SIRINI🙄🙄🙄🙄
Tukiambiwa tuonyeshe mali zetu sijui utaanzajeVIUNGO VYANGU VYA SIRINI🙄🙄🙄🙄



mi nahuja ombe


