ahahahahhahaa mnatuonea!Miss you more partner. Hii mada ni kuuubwa kama bahari ya Pacific. Ugiligili [emoji23]
AF wewe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ahahahahhahaa mnatuonea!
Please!Hii kitu hii ina mambo yake hii
Please!
ahahahahahahhhahhaa sio mzima wewe!Ila namna ulivyoruka na Mshanajr nikafanya analysis ya mshituko wako [emoji23][emoji85]
LIONE![emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
AHAHAHAHAHHAHAHHAHAHHAHAHHAHAHAHA!Naendelea kukusanya data [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejikuta nawaza kwa sauti!Lilith yupo na tunaishi naye ndio maana hawapendi mpenzi jini atajwetajwe... Hivi unadhani wale wanaume wanaooa majini wanaoa nani? Si Sukubasi hao?!
Lilith ana majina 17 lakini majina yanayozua mjadala ni mawili
1. Odam! Wachambuzi wanasema aliitwa hivyo kwasababu mumewe alikuwa Adam
2. The remaining (aliyebakishwa!) Mmh...! Kwanini abakishwe... Opoeni tu warembo vigoli wakali, wapendeni sana ila kuna siri kubwa nyuma yake...
Tunaposema wanawake warembo hawaolewi na wengi huwa Malaya pengine tafsiri yake ni hii hapa... Ni Sukubasi hawa...! [emoji87][emoji87][emoji85][emoji23][emoji124]
Jr[emoji769]
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji36][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]LIONE!
hivi uliwaza nini kutufinisha namna hii!
HII POST NINGENKUWA NA UWEZO NIIFUTE KWENYE KUMBUKUMBU ZA JF!
we sio wa kufanya watu tuhamanike mioyo!
nia yako ni nini lakini!
nna hasira na wewe kila nikiona hii post!
Kwanini ulikimbia shule!!??katerero ni makutano ni kukuuliza tanga kwani ndio warogaji wa mapenzi au kigoma ni wachawahi,acha kutukana watu