Unamfahamu Sukubasi!? (Succubus/Succubi)


Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
110,664
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
110,664 2,000
Sukubasi ni shetani jike ambalo hutokea kwa njia ya ndoto na huwa na umbo la kuvutia sana la mwanamke mrembo kijana ili aweze kutongoza wanaume nakufanya nao ngono....! Lakini kiuhalisia ukiachana na sura na shape ya kuvutia viunge vyake vingine vina utofauti na viungo vya kawaida vya mwanamke mrembo... Mfano ana...
. Kucha zake zimechongoka mfano wa kucha za ndege
. kichwani licha ya nywele zake ndefu lakini ana pembe za kishetani
. Nyuma juu ya makalioni pale mfereji wa matako unapoanzia ana mkia wa joka...
Neno hili Sukubasi linatokana na kilatini cha karibuni SUCCUBAE.. "Malaya" (kutoka succubare.. 'Kulala chini ya...) Kwa mara ya kwanza neno hili lilithibitishwa mwaka1387.....
Kulingana na mafundisho ya Zohar, Lilith alikuwa mke wa kwanza wa Adam, ambaye baadae alikuja kuwa Malaya (Sukubasi)
Alimwacha Adam na akakataa kurudi bustani ya Eden baada ya kujamiiana na malaika mkuu SAMAEL.... Inasemekana tendo hilo la kumwingilia Sukubasi linafanana na Kuingia pango la barafu... Pia simulizi zinasema kuwa Sukubasi alikuja kuongeza Sukubasi wengine ambao kazi yao kubwa ni kuwalazimisha wanaume wanyonye /warambe nyuchi zao(kuzama chumvini) zinazotiririsha haja ndogo na ugiligili mwingine wa kuchukiza....
Sukubasi wapenda kunyonywa na kurambwa nyuchi zao imekuwa ni utamaduni maarufu sasa duniani kwa juhudi za Morrigan na Lilith Aensland kutoka wanyapaji wa giza ambao pia ni wasukubasi....

Je umeelewa nini hapa?
Lilith kwa jina la Sukubasi (Malaya) yupo na kizazi chake hakijawahi kufa bali kimeongezeka mara dufu....
Dalili za Sukubasi ni zipi?
Ndoto nyevu na mwanamke mrembo
Mwanamke mrembo mwenye kupenda mikucha mirefu iliyochongwa...
Wanachura na wanapenda sana staili za ajabu za nywele
Wananogewa na wanapenda sana kunyonywa nyuchi zao mpaka zitoe ugiligili..
Ndugu zangu wa BK na katerero sijui mnasemaje hapa... Maana si kwa ugiligili ule wenye kemikali kali......

Jr
 
Darubini1

Darubini1

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Messages
351
Points
500
Darubini1

Darubini1

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2017
351 500
ulikuwa unakula asidi nyingi sana kidogo ungegeuka battery utoe chaji

Jr
Ukipangusa mdomo kona zake zinatoka vumbi la ugiligili. Kama ningeendekeza sana, hata simu si ajabu ningekuwa nachaji kwa kuunga waya kwa angle za mdomo.
 
sajumo

sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Messages
1,803
Points
2,000
Age
30
sajumo

sajumo

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2013
1,803 2,000
Ukiwa na mawazo mgando kama haya hutokaa ujifunze vitu vipya... Dunia ina mengi ambayo bado hujayajua

Jr
Unajua kuna uwongo ambao hutungwa na watu makini Kwa kuunganisha dots Za Matukio ya ukweli na kudivert ukweli halisi Kisha hutengeneza conclusion wanayiojua wao Na huu uongo Utakuja kama kitu kipya katika jamiii na kitapendwa sana na watu wanaopenda kujifunza na kupokea lakini wanaopenda kujifunza vitu vipya na kureason wataona mapungufu na udhaifu wa hayo maneno na kutatupilia mbali wale waliojifunza na kupokea hujitahid kujiaminisha ule uwongo wenye ukweli mchache kuwa ndio ukweli na kuitengeneza imani yao kupitia uwongo huo ni hilo mkuu mshana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
110,664
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
110,664 2,000
Unajua kuna uwongo ambao hutungwa na watu makini Kwa kuunganisha dots Za Matukio ya ukweli na kudivert ukweli halisi Kisha hutengeneza conclusion wanayiojua wao Na huu uongo Utakuja kama kitu kipya katika jamiii na kitapendwa sana na watu wanaopenda kujifunza na kupokea lakini wanaopenda kujifunza vitu vipya na kureason wataona mapungufu na udhaifu wa hayo maneno na kutatupilia mbali wale waliojifunza na kupokea hujitahid kujiaminisha ule uwongo wenye ukweli mchache kuwa ndio ukweli na kuitengeneza imani yao kupitia uwongo huo ni hilo mkuu mshana

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado naona uko mbali kiufahamu... Usitegemee sana kwenye hizi dhana mbili zinazoitwa ukweli na uongo.... Kwakuwa ukweli wako si lazima uwe wangu wala wa mwingine na kinyume chake... Daima chukua uhalisia, jadili uhalisia baki na uhalisia... Hii ndio dira sahihi kwakuwa kwenye uhalisia hakuna ukweli wala uongo

Jr
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
110,664
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
110,664 2,000
.1.SIJALALAMIKA
2.YUPO!
3. MUME WANGU HAWEZI HAMISHA MANENO YA JF AKAACHA KUNIPA RAHA MKEWE
4. UKIONA HUELEWI KILICHOANDIKWA HALIKUWA ANDIKO LAKO!
Dah ila lile bit ulilonichimba si la dunia hii

Jr
 

Forum statistics

Threads 1,295,417
Members 498,303
Posts 31,211,438
Top