o_2
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 431
- 388
Ila visa vya utamu vilianza siku nyingi. Lilith inasemekana hakutaka kabisa doggie doggie anataka cowgirl na woman on top kwa ujumla. Kuna ukweli wowote hapo!?Tunda la mti wa kati... Dhambi ya asili
Jr![]()

SuccuBae.......hili la mwisho BAE wanavyoitana wapenzi siku hiziSukubasi ni shetani juke ambalo hutokea kwa njia ya ndoto na huwa na umbo la kuvutia sana la mwanamke mrembo kijana ili aweze kutongoza wanaume nakufanya nao ngono....! Lakini kiuhalisia ukiachana na sura na shape ya kuvutia viunge vyake vingine vina utofauti na viungo vya kawaida vya mwanamke mrembo... Mfano ana...
. Kucha zake zimechongoka mfano wa kucha za ndege
. kichwani licha ya nywele zake ndefu lakini ana pembe za kishetani
. Nyuma juu ya makalioni pale mfereji wa matako unapoanzia ana mkia wa joka...
Neno hili Sukubasi linatokana na kilatini cha karibuni SUCCUBAE.. "Malaya" (kutoka succubare.. 'Kulala chini ya...) Kwa mara ya kwanza neno hili lilithibitishwa mwaka1387.....
Kulingana na mafundisho ya Zohar, Lilith alikuwa mke wa kwanza wa Adam, ambaye baadae alikuja kuwa Malaya (Sukubasi)
Alimwacha Adam na akakataa kurudi bustani ya Eden baada ya kujamiiana na malaika mkuu SAMAEL.... Inasemekana tendo hilo la kumwingilia Sukubasi linafanana na Kuingia pango la barafu... Pia simulizi zinasema kuwa Sukubasi alikuja kuongeza Sukubasi wengine ambao kazi yao kubwa ni kuwalazimisha wanaume wanyonye /warambe nyuchi zao(kuzama chumvini) zinazotiririsha haja ndogo na ugiligili mwingine wa kuchukiza....
Sukubasi wapendwa kunyonywa na kurambwa nyuchi zao imekuwa ni utamaduni maarufu sasa duniani kwa juhudi za Morrigan na Lilith Aensland kutoka wanyapaji wa giza ambao pia ni wasukubasi....
Je umeelewa nini hapa?
Lilith kwa jina la Sukubasi (Malaya) yupo na kizazi chake hakijawahi kufa bali kimeongezeka mara dufu....
Dalili za Sukubasi ni zipi?
Ndoto nyevu na mwanamke mrembo
Mwanamke mrembo mwenye kupenda mikucha mirefu iliyochongwa...
Wanachura na wanapenda sana staili za ajabu wa nywele
Wananogewa na wanapenda sana kunyonywa nyuchi zao mpaka zitoe ugiligili..
Ndugu zangu wa BK na katerero sijui mnasemaje hapa... Maana si kwa ugiligili ule wenye kemikali kali......
Jr![]()
Lilith yupo na tunaishi naye ndio maana hawapendi mpenzi jini atajwetajwe... Hivi unadhani wale wanaume wanaooa majini wanaoa nani? Si Sukubasi hao?!
Lilith ana majina 17 lakini majina yanayozua mjadala ni mawili
1. Odam! Wachambuzi wanasema aliitwa hivyo kwasababu mumewe alikuwa Adam
2. The remaining (aliyebakishwa!) Mmh...! Kwanini abakishwe... Opoeni tu warembo vigoli wakali, wapendeni sana ila kuna siri kubwa nyuma yake...
Tunaposema wanawake warembo hawaolewi na wengi huwa Malaya pengine tafsiri yake ni hii hapa... Ni Sukubasi hawa...!
Jr![]()

natafuta laini mpya za simu 
Wewe Dada !! huogopi hata kumtaja ?Sukubasi wa kiume hakuna eenh
Sasa nimepata jibu kwa nini matajiri kupindukia wanakua na uchungu vibaya na pesa yake kumbe wana hasira ya kulambishwa uguli guli ( fluid)

Sukubasi ni shetani juke ambalo hutokea kwa njia ya ndoto na huwa na umbo la kuvutia sana la mwanamke mrembo kijana ili aweze kutongoza wanaume nakufanya nao ngono....! Lakini kiuhalisia ukiachana na sura na shape ya kuvutia viunge vyake vingine vina utofauti na viungo vya kawaida vya mwanamke mrembo... Mfano ana...
. Kucha zake zimechongoka mfano wa kucha za ndege
. kichwani licha ya nywele zake ndefu lakini ana pembe za kishetani
. Nyuma juu ya makalioni pale mfereji wa matako unapoanzia ana mkia wa joka...
Neno hili Sukubasi linatokana na kilatini cha karibuni SUCCUBAE.. "Malaya" (kutoka succubare.. 'Kulala chini ya...) Kwa mara ya kwanza neno hili lilithibitishwa mwaka1387.....
Kulingana na mafundisho ya Zohar, Lilith alikuwa mke wa kwanza wa Adam, ambaye baadae alikuja kuwa Malaya (Sukubasi)
Alimwacha Adam na akakataa kurudi bustani ya Eden baada ya kujamiiana na malaika mkuu SAMAEL.... Inasemekana tendo hilo la kumwingilia Sukubasi linafanana na Kuingia pango la barafu... Pia simulizi zinasema kuwa Sukubasi alikuja kuongeza Sukubasi wengine ambao kazi yao kubwa ni kuwalazimisha wanaume wanyonye /warambe nyuchi zao(kuzama chumvini) zinazotiririsha haja ndogo na ugiligili mwingine wa kuchukiza....
Sukubasi wapendwa kunyonywa na kurambwa nyuchi zao imekuwa ni utamaduni maarufu sasa duniani kwa juhudi za Morrigan na Lilith Aensland kutoka wanyapaji wa giza ambao pia ni wasukubasi....
Je umeelewa nini hapa?
Lilith kwa jina la Sukubasi (Malaya) yupo na kizazi chake hakijawahi kufa bali kimeongezeka mara dufu....
Dalili za Sukubasi ni zipi?
Ndoto nyevu na mwanamke mrembo
Mwanamke mrembo mwenye kupenda mikucha mirefu iliyochongwa...
Wanachura na wanapenda sana staili za ajabu wa nywele
Wananogewa na wanapenda sana kunyonywa nyuchi zao mpaka zitoe ugiligili..
Ndugu zangu wa BK na katerero sijui mnasemaje hapa... Maana si kwa ugiligili ule wenye kemikali kali......
Jr![]()
Bae ni neno la kiSweden liliwa na maana CHOOSasa watu wa Insta si wanaitana 'Bae' au nao ni ma sukubasi mkuu??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu kwa hiyo SAMAEL na yeye baada ya kuzama chumvini alibakia kuwa malaika mkuu?,
Hayo mambo mengine itabidi leo nikirudi home nimchunguze wife kama ni sukubasi
Sasa nimepata jibu kwa nini matajiri kupindukia wanakua na uchungu vibaya na pesa yake kumbe wana hasira ya kulambishwa uguli guli ( fluid)
Sent using Jamii Forums mobile app

Tutaanzia hapo ikijulikanahahaaaaaaaaaaaa ukute mkeo ni sukubasi utafanyaje..?lol
Mhm.. Umewaza vema.. Halafu naomba niulize hapa leo kwenye mada hii... Hivi kirefu cha BAE ninini?
Jr![]()