Unamfahamu Sukubasi (Succubus/Succubi)?

Unamfahamu Sukubasi (Succubus/Succubi)?

Nilifikiri ni Scuba Scaba.
Kumbe ni Sucubasi

Kulifaa tupate majina ya Majini yote ili tusije wapa watoto wetu.

Kuna mtu alimpa mtoto wake jina la Sukubasi bila kujua.

Mtoto alikuwa hakamatiki kabisa hadi alipoambiwa na wataalamu wa Nyota za Kichawi na kufanikiwa kumbadilisha Jina ndipo nafuu ikapatikana.
 
Nilifikiri ni Scuba Scaba.
Kumbe ni Sucubasi

Kulifaa tupate majina ya Majini yote ili tusije wapa watoto wetu.

Kuna mtu alimpa mtoto wake jina la Sukubasi bila kujua.

Mtoto alikuwa hakamatiki kabisa hadi alipoambiwa na wataalamu wa Nyota za Kichawi na kufanikiwa kumbadilisha Jina ndipo nafuu ikapatikana.

Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifikiri ni Scuba Scaba.
Kumbe ni Sucubasi

Kulifaa tupate majina ya Majini yote ili tusije wapa watoto wetu.

Kuna mtu alimpa mtoto wake jina la Sukubasi bila kujua.

Mtoto alikuwa hakamatiki kabisa hadi alipoambiwa na wataalamu wa Nyota za Kichawi na kufanikiwa kumbadilisha Jina ndipo nafuu ikapatikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sukubasi ni shetani jike ambalo hutokea kwa njia ya ndoto na huwa na umbo la kuvutia sana la mwanamke mrembo kijana ili aweze kutongoza wanaume nakufanya nao ngono....!

Lakini kiuhalisia ukiachana na sura na shape ya kuvutia viunge vyake vingine vina utofauti na viungo vya kawaida vya mwanamke mrembo... Mfano ana...

. Kucha zake zimechongoka mfano wa kucha za ndege
. kichwani licha ya nywele zake ndefu lakini ana pembe za kishetani
. Nyuma juu ya makalioni pale mfereji wa matako unapoanzia ana mkia wa joka...

Neno hili Sukubasi linatokana na kilatini cha karibuni SUCCUBAE.. "Malaya" (kutoka succubare.. 'Kulala chini ya...) Kwa mara ya kwanza neno hili lilithibitishwa mwaka1387.....

Kulingana na mafundisho ya Zohar, Lilith alikuwa mke wa kwanza wa Adam, ambaye baadae alikuja kuwa Malaya (Sukubasi)
Alimwacha Adam na akakataa kurudi bustani ya Eden baada ya kujamiiana na malaika mkuu SAMAEL.... Inasemekana tendo hilo la kumwingilia Sukubasi linafanana na Kuingia pango la barafu... Pia simulizi zinasema kuwa Sukubasi alikuja kuongeza Sukubasi wengine ambao kazi yao kubwa ni kuwalazimisha wanaume wanyonye /warambe nyuchi zao(kuzama chumvini) zinazotiririsha haja ndogo na ugiligili mwingine wa kuchukiza....

Sukubasi wapenda kunyonywa na kurambwa nyuchi zao imekuwa ni utamaduni maarufu sasa duniani kwa juhudi za Morrigan na Lilith Aensland kutoka wanyapaji wa giza ambao pia ni wasukubasi....

Je umeelewa nini hapa?
Lilith kwa jina la Sukubasi (Malaya) yupo na kizazi chake hakijawahi kufa bali kimeongezeka mara dufu....
Dalili za Sukubasi ni zipi?

Ndoto nyevu na mwanamke mrembo
Mwanamke mrembo mwenye kupenda mikucha mirefu iliyochongwa...
Wanachura na wanapenda sana staili za ajabu za nywele

Wananogewa na wanapenda sana kunyonywa nyuchi zao mpaka zitoe ugiligili..
Ndugu zangu wa BK na katerero sijui mnasemaje hapa... Maana si kwa ugiligili ule wenye kemikali kali......

Jr

HOTUBA YA SHETANI KWA WAFUASI WAKE WA MOTONI.jpg

Succubi jini mahaba la kike linalo waingilia wanaume wakilala usiku kufanya nao mapenzi. Jini huyu ukiwa nae anakutia nuksi na mikosi ya kufukuzwa kazi Wanawake wanakukimbia huwezi kuoa na wala Pesa ukizipata huwa hazikai kabisa unachukiwa na marafiki zako na ndugu na jamaa wako wa karibu yaani huyu jini mahaba ni mbaya sana Mungu atuepushe nae amin.
 
Back
Top Bottom