Unajua kuna uwongo ambao hutungwa na watu makini Kwa kuunganisha dots Za Matukio ya ukweli na kudivert ukweli halisi Kisha hutengeneza conclusion wanayiojua wao Na huu uongo Utakuja kama kitu kipya katika jamiii na kitapendwa sana na watu wanaopenda kujifunza na kupokea lakini wanaopenda kujifunza vitu vipya na kureason wataona mapungufu na udhaifu wa hayo maneno na kutatupilia mbali wale waliojifunza na kupokea hujitahid kujiaminisha ule uwongo wenye ukweli mchache kuwa ndio ukweli na kuitengeneza imani yao kupitia uwongo huo ni hilo mkuu mshana
Sent using
Jamii Forums mobile app