Singo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,210
- 1,166
ni vyema akafa mapema ili asitumalizie kodi zetu
neno ulilotaja linatisha , mtu akiwa mgonjwa tusiongelee habari za yeye afe mapema, naamini hata mungu hapendi.afe kwa sababu siku yake imefika tu na si kwa kumuombea afe