Mungu ni mwema na atapona haraka sana ili aendelee na kazi. hamna cha uchawi ila ni malaria tu. kwani nani hajawahi ugua?
Mungu ipe faraja kipindi hiki kigumu Familia ya Mzee Robert Manumba, Mpe afueni mja wako Mzee Manumba!
Mungu sikia vilio vya watu hawa, hebu fanya manuva mtume israel afanye kazi yake fasta, ikiwezekana leo tubadili story.
Mungu ni mwema na atapona haraka sana ili aendelee na kazi. hamna cha uchawi ila ni malaria tu. kwani nani hajawahi ugua?
Labda atakaye mfuata atakuwa na hofu ya Munguni vyema akafa mapema ili asitumalizie kodi zetu
naona kama unajichanganya vile?unasema ni mchapa kazi na ameingia kwenye 18 za watu,tena unasema mungu sio athumani,kwa maana unamtakia mabaya.......halafu unanishangaza kumtakia mtu mabaya.huyu jamaa ni mtenda kazi shupavu kabisa kwa taarifa tulizo ni kwamba amejiingiza kwenye 18 za watu,,kwi kwi kwi,,,,,,,,,,,,,,,,,, hapa tunasubiri dakika tu,,ndio tujue mwenyenzi mungu muumba wa mbingu na dunia siyo asumani!!!!!!!!!!!!!!!!
jamani hii kazi yake hata aje nani?atachukiwa tuLabda atakaye mfuata atakuwa na hofu ya Mungu
Niwe mkweli tu nitafurahia sana aki.... maana alikuwa anafurahia na kupotosha watu katika sakata la kupigwa sumu Mwakyembe
stupidiest post/thread of the past 24 months
unachekelea roho za watu kwa mtaji wa kipumbavu??
remember law ya KARMA!!!!