Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,848
- 37,551
Hizi post zinatakiwa kuwafundisha viongozi wa hii nchi kuwa watanzania wamechoka"
Kabisa mkuu
Hizi post zinatakiwa kuwafundisha viongozi wa hii nchi kuwa watanzania wamechoka"
Aga Khan = MNH?? kweli hawa viongozi wetu wamepotoka! au wanaogopa kivuli chao wenyewe? usimuombea mwanzako afe! akipona sasa hivi atakuwa mtu mwingine safi! atajua kwamba ipo siku!
Ina maana kaingia kwenye kumi na nane za watu?
Duh! Kwakweli taifa lilipo fikia ni pabaya sana, yani mpaka tuna ombeana kufa? Duh! Hiikali, hebu pata pc angekua ni babaako hata kama angekua muuaji kiasi gani usinge furahi na post hii. Tuache maskhara kwenye mambo ya kweli
stupidiest post/thread of the past 24 months
unachekelea roho za watu kwa mtaji wa kipumbavu??
remember law ya KARMA!!!!
mungu mkubwa anaweza kukuchukua ww yeye akabaki
Acheni roho mbaya nyie watu!!wewe ni nani mpaka umuhukumu mtu??Mungu mwenye haki angeamua kutuhukumu kila mmoja kulingana na makosa yetu nani angepona?hakuna aliye mkamilifu.Pengine wengi wetu hapa tuna maovu kuliko hata ya manumba!!Mungu pekee ndo mwenye haki ya kuhukumu na sio sisi binadamu!kuweni na utu
ionee huruma hata familia yake aki...tusilipe baya kwa baya ,muache Mungu ahukumu