Unamfahamu DCI Manumba wewe?

Unamfahamu DCI Manumba wewe?

eee mwenyezi mungu kwa kiwango hicho hicho wanacho mwombea mwanadamu wako mabaya IWARUDIE NA IKIWEZEKANA WAANZE KUONJA ADHABU YAO HAPA HAPA DUNIANI KWANI HAWA NI VIUMBE WA AJABU SANA KUFIKIA KIWANGO HICHO CHA KUMUOMBEA MWANADAMU ULIYE MUUMBA MABAYA Hawa ni sawa na wachawi.MUNGU MSAIDIE KAMANDA WETU WA UKWELI APONE NA WAPATE AIBU WABAYA WETU.

We,Mungu siyo wa hivyo acha kutaniana na Mungu.
 
Kwa wote tunaomuombea dci apone ili arudi kwenye majukumu yake,tujifunze kitu hapa jukwaani maana naona 70% hawamtakii mema why?kuna tatizo hapa kwenye utendaji hivyo tujirekebishe
 
Kwa wote tunaomuombea dci apone ili arudi kwenye majukumu yake,tujifunze kitu hapa jukwaani maana naona 70% hawamtakii mema why?kuna tatizo hapa kwenye utendaji hivyo tujirekebishe

Nani ajirekebishe,DCI na wenzake,au sisi wanyonge?
 
Usifurahie mateso anayoyapata mwenzako bali furahia mtu anapotubu dhambi zake
 
Nimeshtuka sana niliposkia eti ana malaria jumla ya vijududu 500 yaani ana malaria 500!!!!!!!!!!!!!!!!! Sijawahi kuskia kitu kama hii bhana
Inawezekana kabisa kuna dogo alikutwa na vijidudu 4500


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
pamoja na yote mtu asiye na uchungu na binadamu wenzange hakika naye hatoonewa huruma ivo woooote wafe tu tena hata angekuwa baba angu kama haumii roho za wengine zinapo angamia bila hatia nayeye afe tu hata kama ni mama yako akiwa hana uchungu na roho ya binadamu wengine haina maana ya kumuonea huruma na yeye afe tu tena mapema kabisa kumbuka kila binadamu ni nduguyo ndio mana ukipatwa na tatizo hata kama nduguzo hawapo waliopo karibu nawe watakupa msaada kama nduguzo so yabid kuwa na uchungu na kila roho inayo jaali roho za wengine.

Vp about kunyongwa, waache kunyonga ama
 
Huyu jamaa ni mtenda kazi shupavu kabisa
kwa taarifa tulizo ni kwamba amejiingiza kwenye 18 za watu,,kwi kwi kwi,,,,,,,,,,,,,,,,,,
hapa tunasubiri dakika tu,,ndio tujue Mwenyenzi Mungu Muumba wa Mbingu na Dunia siyo ASUMANI!!!!!!!!!!!!!!!!

Siku zote nasikiaga tu adui mwombee njaa wala si mambo mengine..tafakari hii.
 
Ana roho ngumu kama ya paka, hadi leo hajakata roho tu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom