The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,616
Ohh mkaldayo u should give a f or Bcoz u r content with easy going life at your sisters place?I ain’t give an F!
Ohh mkaldayo u should give a f or Bcoz u r content with easy going life at your sisters place?I ain’t give an F!
Tamaduni nyingi za Kiafrika wanaume wanavaa hereni.Vazi hereni ni pambo linalotumiwa na wanawake tangu enzi na enzi za mababu zetu lakini kwa sasa hii imekuwa tufauti sana kwani hata wanaume siku hizi wanavaa. Je , ni sahihi kwa mwanaume kuvaa hereni kwa sehemu yoyote kwa na mna yoyote ile na kwa kisingizio chochote kile?
View attachment 1765668View attachment 1765669View attachment 1765670
HUYU SIO MWANAUME..View attachment 1765739
Wengine hawa
Oh look, I am not gonna judge them for what they like, I mean who am I to judge another...1 Wakorintho 6:19
Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? Nyinyi basi, si mali yenu wenyewe.
Ni wa kuwahurumia haoVazi hereni ni pambo linalotumiwa na wanawake tangu enzi na enzi za mababu zetu lakini kwa sasa hii imekuwa tufauti sana kwani hata wanaume siku hizi wanavaa. Je , ni sahihi kwa mwanaume kuvaa hereni kwa sehemu yoyote kwa na mna yoyote ile na kwa kisingizio chochote kile?
View attachment 1765668View attachment 1765669View attachment 1765670
Wapenda urembo na ninawaona kama warembo
Acha ujinga wewe, Diamond kazalisha ajira kibao kwa vijana na katengeneza mamilionea wengi TZ, wewe piga umbea tuu na njaa yakoDiamond katuharibia sana vijana wetu
uwe unauliza kwanza ukiwa mgeni jfAcha ujinga wewe, Diamond kazalisha ajira kibao kwa vijana na katengeneza mamilionea wengi TZ, wewe piga umbea tuu na njaa yako
You have no issue getting married by one?"Je, unamchukuliaje mwanaume anaevaa hereni katika jamii yako?"
It's their choice, I don't care what other people do with their bodies.
sio mgeni, id mpya tuu nilipoteza ya zamaniuwe unauliza kwanza ukiwa mgeni jf
Katoa hela elfu 20 kununua hio nguoView attachment 1765739
Wengine hawa