Unamchukuliaje mwanaume anayevaa hereni katika jamii yako?

mzee wewe hereni vipi unavaa?
Mimi sina swag zozote,mimi mshamba mshamba tu. Hereni sivai, nywele uwa nanyoa zinalingana, uwa suruali navaaga cardet tu hata sivai jeans,
Sina swag za watoto wa mjini mkuu
 
Je wajua
Hereni inafaida kiafya? Hii ni kwasababu ngozi ya sikio(pinna) inanerve ending nying sana kwaio kwa mtu ambae anavaa hereni itamsaidia kustimulate nerve hizo na kufanya neva zipate mtiririko mzuri wa utendaji kazi bahati mbaya wanaume wengi wanaovaa hereni hawalitambui wanavaa kama fasion na mengne ni mafata mkumbo na mengne mabwabwa yanatangaza biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umewahi kuvaa?
 
Tena leo nimekutana na kijana wa kizungu wmevaa hivyo,perception iliyonijia kichwani kuwa ni Shoga.
 
Diamond bhn kaharibu sana vijana!
images%20-%202021-04-27T212304.572.jpg
 
That is to say, you care.
Everyone has their own preference when choosing a partner, Mailman.

Choosing not to date someone doesn't always mean you don't like the way that they live their lives. It's just a preference.
 
Everyone has their own preference when choosing a partner, Mailman.

Choosing not to date someone doesn't always mean you don't like the way that they live their lives. It's just a preference.

Thanks for an elaborate answer.

Another qn: suppose you have a son, he comes to you for an advise, would you let him do that?
 
Nah,
As I said in another comment, I have no issues with them but I just don't find them attractive.
You never find them attractive wow🤩 that means the act of drilling ears and putting on earings kind of annoys you because of so many reasons in hand one of them being immoral act!
 
Back
Top Bottom