Unamchukuliaje mwanaume anayevaa hereni katika jamii yako?

1 Wakorintho 6:19​

Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? Nyinyi basi, si mali yenu wenyewe.
Oh look, I am not gonna judge them for what they like, I mean who am I to judge another...

Matthew 7:1-2
"Judge not, that ye be not judged.
For with what judgment ye judge, ye shall be judged: and with what measure ye mete, it shall be measured to you again."


Romans 2:1-3 "You, therefore, have no excuse, you who pass judgment on someone else, for at whatever point you judge another, you are condemning yourself, because you who pass judgment do the same things.

But we are sure that the judgment of God is according to truth against them which commit such things.

And thinkest thou this, O man, that judgest them which do such things, and doest the same, that thou shalt escape the judgment of God?"
 
Ni Mmaasai au Mgogo aliyechangamka 😆
Kiukweli kuna mengi yanayonisumbua huku duniani, huyo mwanaume aliyeamua kujidunga mahereni hata hahangaishi nafsi yangu!

Everyday is Saturday................................:cool:
 
sisi kwetu wanatoboa maskio,Ila yanatakiwa matobo ya masikio yawe mapana sana.heleni hatuvai ,Ila tunatoboa tu maskio yanakua mapanaaa!
 
Kuna jamii nyingi za kiafrika hususan hapa tanzania ambao wamekuwa wakitoboa masikio(kuvaa hereni) pua na sehemu zingine kama moja ya tamaduni zao. Je hawa unasemaje
 
Je wajua
Hereni inafaida kiafya? Hii ni kwasababu ngozi ya sikio(pinna) inanerve ending nying sana kwaio kwa mtu ambae anavaa hereni itamsaidia kustimulate nerve hizo na kufanya neva zipate mtiririko mzuri wa utendaji kazi bahati mbaya wanaume wengi wanaovaa hereni hawalitambui wanavaa kama fasion na mengne ni mafata mkumbo na mengne mabwabwa yanatangaza biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom