Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Huyo mwenye sura kama chapati ya nyongeza ndo alikuja kukuoa? Je bado mpo pamoja?
huyu mjinga aliniacha nipo msibani kwa bibi 2013 na kuniambia mambo kibao, nililia sana ukijumlisha na msiba basi nilikuwa sishikiki. after an year nikawapoa. siku hiyo naona call yake namba mpya ila nilishaishikaga kichwani hata nikiamshwa siwezi isahau. nikapokea ananiuliza uko hostel nikamshangaa nikaamua nimuache aje nimuangalie usoni na jisura ka lichapati la kuongeza.
akaja na tropical azam juice na maji na chocolate za masiku ananiuliza inshort nilisha move on nilikuwa na this guy Medicine student ye yupo mwanza mi nipo udsm, alikuwa anajali sana this dokuta but hakuwahi gusa moyo ka huyu mwenye sura ka chapati ya kuongeza kwa mama ntilie, basi hata sijui ilikuwaje tukaanza kudate tena mapenzi motomoto hadi ndoa 2017 hahhahah its sad jinsi linivyomuachaga mkaka wa medicine hadi leo namuoneaga huruma. but sikuweza muacha my first man form him na sikumpenda. alilia hadi nilijisikia vibaya kama nimeuwa. kama unasoma hii nisamehe NISAMEHE BIG TIME
 
Dahh tukadate toka la sita mpaka 4m 4 mm nikiwa shule x na yeye shule y majib kutoka nikapagwa advanc yy akazingua akafanyaga mpango wa kwenda chuo dahh akabadilika sanaaa mm huku hata sielewi nakomaa na pcb yang nakumbuka ilikuwa siku ya pasaka mchana muda wa msosi nikatumiwa msg kuwa nisiwe na mazoea na wasichana wa watu mhh nikaona nipige maana ilikuwa namba ngen akapokea jamaa akanipiga biti kali wakat huo nasikia mwanadada anacheka sana machoz yananilengalenga mwanadada akachukua simu akasema hawez date na watu wanaovaa uniform dahh mbaya zaid wakiwa bado hawaja kata simu nikasikia yule jamaa anamwambia mwanadada anahamu anataka waendelee achen nyie watu acheni kabisa hii ndo ilikuwa siku yangu ya kwanza kunywa konyagi na kuingia club nakula malaya kiukwel iliniharib akili

Aseeh j popote ulipo ww ni mbwa uliniharibia sana mamaeee dahh omba tusikutane miaka 10 imeshapita ila nikikumbuka naumia mamaee
 
Aise niliwahi kumpenda binti mmoja hivi hakuwa mkali sana ila nilimpenda kiasi kwamba wanawake wengine nilikuwa nawaona kama wanaume wenzangu kwa jinsi nilivyompenda.
Licha ya kudumu nae miaka kadhaa lakini sikuwahi kupata hata chembe ya kumsaliti.

Siku moja usiku mida ya mbili usiku akanitumia sms, akaniambia kuwa siwezi kuendelea kuwa nae sabb mimi si hadhi yake na kwanza sijui kuvaa, usiku sikula wala kunywa nilikuwa nashinda na kulala nja na nikipewa chapati mbili simalizi... Nilidhoofika afya mpaka ndugu zangu wakajua kuwa mm mgonjwa ila sitaki kusema kuwa naumwa, kutoka kilo 70 mpk 53 ndani ya mwezi mmoja.
Ilichukua takribani miezi 4 kumsahau.

Nikikutana nae na kuona alivyofubaa naona kuwa maisha yanaenda kasi sana.
 
Sijawahi teswa na breakups sababu sijawahi achwa

Otto
Kina j watatu
Sunday
G
Elvin
Brayo
Yahya

Mnisamehe tu kwakweli

Ila mpenzi wa Sasa naomba usije niumiza maana nakupenda Hadi najisahau
List mbona fupi saana?
 
Break up Yang ya Kwanzaa nlkuwa Chuo nilikuwa na demu mmoj iv nlimpendaga Sana ,cjui kma ntakuja kupenda Kama vile nakumbuka ilikua tareh 9/5 siku Io ilikua jumamos saa Kum na mbil nikatumiwa text ,,"mmi nataka tuachane" nilihisi kichwa kinapasuka maumivu ndo usiseme,kumuliza sababu kapata mtu mwingine ,Moyo uliniuma sio POA nilikumbuka pesa zangu vizawadi nilivyokuwa nampaga ,, mwez mmoja badae nikasikia Ana mimba

Huwa siwezi kukusahau Susan
Duh
 
Hapa ndo nilithibithisha kua mapenzi ni yanauma,
Maumivu nilioyapata sijawai kuyapata tena na naomba yasijieudie, yan huumwi sehemu yoyote ya mwili lakini unaona dunia iko juu chini,
Kwa mara ya kwanza nikashindwa kula.
Chozi linatoka, lecture hazipandi.

Sikua mpenzi wa nyimbo ila nilijikuta nawafahamu kina Bruno Mars, Celine dion, ibra nation, Adele na wengine wengi.
Nilikua nikiangalia picha yake au nikiangalia call history nalia. Sema nilikua najikaza watu wasinione dhaifu.
Hakika haya mambo yasikie. Kwa ambae hayajamkuta hawezi kuelewa hii hali

Kweli kabisa
Mimi niliachwa nikiwa stand ya mabasi kilio chake sio cha kawaida
Kuachwa kunauma sana haswa yule mtu ambaye unampenda na hujatarajia kuachana nae kwa wakati huo
 
Kimbelembele kijana wangu sio kizuri.
Ulishawahi niona naandika baby daddy wangu alikua sweetheart wangu au kama kawaida yenu kujifanya mnajua watu kuliko wanavyojijua?
UTASUTWA KIJANA WANGU ACHA UMBEA
hahha, naona kashasutwa mtu .
 
Break up Yang ya Kwanzaa nlkuwa Chuo nilikuwa na demu mmoj iv nlimpendaga Sana ,cjui kma ntakuja kupenda Kama vile nakumbuka ilikua tareh 9/5 siku Io ilikua jumamos saa Kum na mbil nikatumiwa text ,,"mmi nataka tuachane" nilihisi kichwa kinapasuka maumivu ndo usiseme,kumuliza sababu kapata mtu mwingine ,Moyo uliniuma sio POA nilikumbuka pesa zangu vizawadi nilivyokuwa nampaga ,, mwez mmoja badae nikasikia Ana mimba

Huwa siwezi kukusahau Susan
yan ghafla2 umekaa huna hili wala lile?
 
Dahh tukadate toka la sita mpaka 4m 4 mm nikiwa shule x na yeye shule y majib kutoka nikapagwa advanc yy akazingua akafanyaga mpango wa kwenda chuo dahh akabadilika sanaaa mm huku hata sielewi nakomaa na pcb yang nakumbuka ilikuwa siku ya pasaka mchana muda wa msosi nikatumiwa msg kuwa nisiwe na mazoea na wasichana wa watu mhh nikaona nipige maana ilikuwa namba ngen akapokea jamaa akanipiga biti kali wakat huo nasikia mwanadada anacheka sana machoz yananilengalenga mwanadada akachukua simu akasema hawez date na watu wanaovaa uniform dahh mbaya zaid wakiwa bado hawaja kata simu nikasikia yule jamaa anamwambia mwanadada anahamu anataka waendelee achen nyie watu acheni kabisa hii ndo ilikuwa siku yangu ya kwanza kunywa konyagi na kuingia club nakula malaya kiukwel iliniharib akili

Aseeh j popote ulipo ww ni mbwa uliniharibia sana mamaeee dahh omba tusikutane miaka 10 imeshapita ila nikikumbuka naumia mamaee
 
Aisee nakumbuka niliachwa na siku natumiwa hyo txt ya kuachwa nilikuepo nakula na mama sio siri nilishindwa hta kula ila nilijikaza bt yokea hapo sijawah tena kuumia kisa mapenz maana yule alienikataa aliniambia simpend kisa nimemuomba tusex aisee mapenz yana meng ila now hawa kima nawaendesha vya kutosha
habari yako comrade
 
Back
Top Bottom