Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Sijawahi acha wala kuachwa nikaacha umia...Huwa hata leo hiii niachane na huyu mpenzi wangu Bado kuna ka internal feeling flani ka maumivu ndani yangu,Naachaga sana wadada ila nawaachaga huku Naumia YANI sijawahi acha mtu halafu moyoni mwangu nikawa na amani.

Natamanigi niwe kama mswati..wote wawe wangu sema ndio ivyo tena ni lazima uwe na mmoja TU.
 
😂😂😂😂 nampenda kweli na tangu aniache anasema alikua ananitania eti 😂😂😂 ila ndio nafasi yake haipo tena
Ananiambiaga hivihivi ex wangu kaolewa na mzungu huko... ila akirudi bongo kwa likizo ananiletea kitumbua kiroho safi kabisa.

Usimwambie bibi yako tafazali
 
Hapa ndo nilithibithisha kua mapenzi ni yanauma,
Maumivu nilioyapata sijawai kuyapata tena na naomba yasijieudie, yan huumwi sehemu yoyote ya mwili lakini unaona dunia iko juu chini,
Kwa mara ya kwanza nikashindwa kula.
Chozi linatoka, lecture hazipandi.

Sikua mpenzi wa nyimbo ila nilijikuta nawafahamu kina Bruno Mars, Celine dion, ibra nation, Adele na wengine wengi.
Nilikua nikiangalia picha yake au nikiangalia call history nalia. Sema nilikua najikaza watu wasinione dhaifu.
Hakika haya mambo yasikie. Kwa ambae hayajamkuta hawezi kuelewa hii hali
huyu mjinga aliniacha nipo msibani kwa bibi 2013 na kuniambia mambo kibao, nililia sana ukijumlisha na msiba basi nilikuwa sishikiki. after an year nikawapoa. siku hiyo naona call yake namba mpya ila nilishaishikaga kichwani hata nikiamshwa siwezi isahau. nikapokea ananiuliza uko hostel nikamshangaa nikaamua nimuache aje nimuangalie usoni na jisura ka lichapati la kuongeza.
akaja na tropical azam juice na maji na chocolate za masiku ananiuliza inshort nilisha move on nilikuwa na this guy Medicine student ye yupo mwanza mi nipo udsm, alikuwa anajali sana this dokuta but hakuwahi gusa moyo ka huyu mwenye sura ka chapati ya kuongeza kwa mama ntilie, basi hata sijui ilikuwaje tukaanza kudate tena mapenzi motomoto hadi ndoa 2017 hahhahah its sad jinsi linivyomuachaga mkaka wa medicine hadi leo namuoneaga huruma. but sikuweza muacha my first man form him na sikumpenda. alilia hadi nilijisikia vibaya kama nimeuwa. kama unasoma hii nisamehe NISAMEHE BIG TIME
 
Nimekusamehe lakini sitakusahau...
 
Wanawake ndo mlivyoo... Anaekufariji wakati ukiwa katika mgumu kama ana akili timamu inabdi Akugongee akuachee Kama hajielewi atafanya kama huyo jamaa wa medicine...!!
 
Yule ms*nge aliniacha jumapili ambayo jumatatu yake tulikuwa na test...sababu yake mammmae zake nikachafua CV ya kuzungusha ile paper (nilipata zero)

Nilikuwa siwezi kula
Siwezi kulia japo natamani kulia lakini machozi hayaji
Nilikuwa mchekaji mzuri lakini siku hizi sicheki kabisaaaa

Popote ulipo ama kama unasoma hapa ujue tu nakuchukia kuliko kawaida!!!na kwa taarifa yako ninae baby mpya nampenda sanaaaaaa

#povu

Halafu bado nakupenda
Duh!
 
Wanawake ndo mlivyoo... Anaekufariji wakati ukiwa katika mgumu kama ana akili timamu inabdi Akugongee akuachee Kama hajielewi atafanya kama huyo jamaa wa medicine...!!
nimeshindwa ni mwamvie nini, sema ndo hivyo moyo ushapenda, yani mtu akishatendwa tunaodandia mbele twajitesa tu
 
Hakuna kitu kama hicho
Siwezi kuacha kumpenda mwanaume anaenipenda kwa sababu ya mjinga mmoja ambaye hakujua thamani yangu.
Nilichojifunza ni ku-let go
Kwamba hata kama nmempa upendo mtu akitaka kwenda namuacha aende maumivu ntapambana nayo baada ya muda yataisha maisha yataendelea.
Watu ambao hawapendi tena ni ule woga wa kutendwa, kutendwa kupo tu upende usipende muda wa kuachwa ukifika utaachwa tu kama kawaida.
Like yangu umeiona?
 
nlipoachana nae kesho akanijia na Kiwembe eti anilarue uso

wanawake wa buza sio poa
 
Back
Top Bottom