Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Vijana wametiririka aseee. Sometimes kuacha ni jambo jema. Milango inafunguka kwa wote. He/she or both mnapata watu bora kabisa kwenye maisha
Tatizo sio kuachana mkuu ila ni njia inayotumika kuachana inakuwa sio mzuri.
 
Ego na nyodo nilizonazo sometimes zinanisaidia,, nimejaa dharau hasa kwa mtu nikiona simuelewi hata nikupende vipi na uniumizeje nakupotezea km sikujui, block, delete au vyote kwa pamoja, na ukirogwa ukajirudisha kwa njia nyingine jibu la kimya, na mafupi utajiona bwege mwenyewe na hata sijali
 
See you
 
Iyo kitu inauma sana asikwambie mtu,alafu huwa inatokea usiku sana uko peke yako ndio unatumiwa msg... dah unaweza sema hivi kwa nini sikulala mapema.

"Anna sikutaki tena"
Mkuu kwanini umejiita podcast?
 
Alikua first lover huyu kaka, purukushan za miaka 2 napigwa matukio lakn nimo tu. Siku hiyo kapiga simu ananiambia mama naona tuachane tu namuuliza kwa nini akadai hajiskii tu kuendelea kuwa na mimi akakata simu aloo ilikua kilio. Nyumban naulizwa nini shida siwez sema mana nilikua mdogo alafu bado nipo shule looh niliteseka sitasahau.

Toka kipindi kile sijawahi umia kwa namna ile, nilishaachwa pia wakati fulani ila nilijionea kawaida. Siku hizi mtu akinisumbua mimi ndio nachapa lapa yaani bora niteseke nikiwa mwenyewe sio kuteseka na mtoto wa mtu.
 
Ah!!! Weeeh acha tu mkuu, tangu siku iyo niliamua kua kachero. Ni kukamata mbususu, weka lock up!! Asubuhi na mapema...kanawachwa huru! Dah!
 
Back
Top Bottom