Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Sasa bulubendi kweli utendwe na mmoja halafu ututwishe mzigo wote
Time heals, sie ni kama maji huwezi kutususa milele.
Hauishi sidhani kama utaisha

Siwaamini kabisa wanawake

Eeh Mungu nisamehe

Alifanya kitu kibaya sana
 
Baada ya kunitumia sms yake ya mpango wa nje kimakosa, nilidhamiria kumuacha na kumfuta kabisa katika kumbukumbu zangu, haikuwa kama nilivyofikiri kwa kuwa mrembo alitishia kujitoa uhai,(alifanya jaribio la kujitoa uhai zaidi ya mara moja) wazazi wangu wakanisihi kwamba nimsamehe nisije kuingia kwenye matatizo..mzee mzima nikasamehe..kwa kuwa alinipenda kwa dhati mpaka leo tupo pamoja!
 
Break up Yang ya Kwanzaa nlkuwa Chuo nilikuwa na demu mmoj iv nlimpendaga Sana ,cjui kma ntakuja kupenda Kama vile nakumbuka ilikua tareh 9/5 siku Io ilikua jumamos saa Kum na mbil nikatumiwa text ,,"mmi nataka tuachane" nilihisi kichwa kinapasuka maumivu ndo usiseme,kumuliza sababu kapata mtu mwingine ,Moyo uliniuma sio POA nilikumbuka pesa zangu vizawadi nilivyokuwa nampaga ,, mwez mmoja badae nikasikia Ana mimba

Huwa siwezi kukusahau Susan
 
Baada ya kunitumia sms yake ya mpango wa nje kimakosa, nilidhamiria kumuacha na kumfuta kabisa katika kumbukumbu zangu, haikuwa kama nilivyofikiri kwa kuwa mrembo alitishia kujitoa uhai,(alifanya jaribio la kujitoa uhai zaidi ya mara moja) wazazi wangu wakanisihi kwamba nimsamehe nisije kuingia kwenye matatizo..mzee mzima nikasamehe..kwa kuwa alinipenda kwa dhati mpaka leo tupo pamoja!
na uo mchepuko wake wameachana au umeamua kuishi kwa "kizuri kula na mwenzio?"
 
Watu wamepoteza Maisha.

Watu wamepelekwa Gerezani.

Watu wamepewa Vilema.

Watu wamelazwa Mahospitalini.

Watu wamerukwa na Akili (Wamekuwa wendawazimu/Wamedata).

Watu wamepatwa na Magonjwa ya Shinikizo la Damu.

Watu wameambukizwa gonjwa hatari la UKIMWI.

Watu wamejiingiza kwenye janga la kuvuta Madawa ya Kulevya (UNGA/MZIGO/NGADA/BWIMBWI n.k.)

Watu wamewekewa SUMU kwenye Vyakula.

Watu wameuza Majumba yao.

Watu wameweka Rehani Majumba yao.

Watu wamepoteza MALI zao.

Waganga wa Kienyeji wamenufaika sana kutoka kwa wateja zao.

Watu wamevunja Udugu.

Watu wamevunja Urafiki.

Watu wametapeliwa.

Watu wamehama Nchi zao.

Watu wamehama Miji yao.

Watu wamepoteza Ajira zao.

Machache niliyoyaorodhesha hayajafikia hata theluthi, nikiwa na maana kuna mengi yalitokea/yanatokea na yataendelea kutokea, na hii yote ni kwasababu ya MAPENZI.

MAPENZI ni hatari sana.

MAPENZI yanaundesha huu Ulimwengu tulio nao.

MAPENZI.

Haya MAPENZI haya.

MAPENZI
 
Back
Top Bottom