Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,987
bado sijamuachekwani Shunie anasemaje kwenye hili
bado sijamuachekwani Shunie anasemaje kwenye hili
Duuh mzee pamoja na kuona dalili zote zile lakini bado ulikomaawanawake wakatili sana hawa viumbe acha tucheke nao tu humu ila sio watu wazuri
nikiwa o level nilimpenda dada mmoja alikua form 4 mimi form 2,i loved her with all my heart,she was the first, vijipocket money nilivokuwa nikipewa nilikuwa namsaidia,nikamwambia nampenda akakubali kumbe ananichora tu,aisee nilipa kila nilichoweza,akamaliza form 4 mimi ananijibu shit na smart phone nimempa mimi,mara hajibu texts na hapokei simu,nimeenda nae hivo hivo mpaka nipo advance namtumia pocket money anitunzie afu anakuja badae anasema aliitumia yote, akiwa na shida vi elfu 50 nilituma sana,mwisho wa siku akaenda kuolewa na akaniblock,toka siku hiyo mpaka leo hilo tukio limenibadilisha jinsi navowaona wanawake, nawachukia kuna muda mara nawadharau


Kweli ulimpendaaa...mkuu,,nilikomaa kwa sababu ya upendo,nilishauriwa sana nimuache lakini i still had a feeling kwamba huenda mapenzi ndivyo yalivo na kwamba siku moja ataeleweka, yule ndiye mwanamke pekee nilipanga kumuoa,Duuh mzee pamoja na kuona dalili zote zile lakini bado ulikomaaKweli ulimpendaaa...
daa form six unamtumi mtu vi hamsini hamsini, kipindi icho nikiwa na buku mbili moyo wangu unaaman kubwa sanwanawake wakatili sana hawa viumbe acha tucheke nao tu humu ila sio watu wazuri
nikiwa o level nilimpenda dada mmoja alikua form 4 mimi form 2,i loved her with all my heart,she was the first, vijipocket money nilivokuwa nikipewa nilikuwa namsaidia,nikamwambia nampenda akakubali kumbe ananichora tu,aisee nilipa kila nilichoweza,akamaliza form 4 mimi ananijibu shit na smart phone nimempa mimi,mara hajibu texts na hapokei simu,nimeenda nae hivo hivo mpaka nipo advance namtumia pocket money anitunzie afu anakuja badae anasema aliitumia yote, akiwa na shida vi elfu 50 nilituma sana,mwisho wa siku akaenda kuolewa na akaniblock,toka siku hiyo mpaka leo hilo tukio limenibadilisha jinsi navowaona wanawake, nawachukia kuna muda mara nawadharau
mkuu pole sana,tuliopitia hio kitu ndio tunaelewa machungu,jamiiforums nzima 70% ya wanaume wanaweza kuwa wameshaumizwa ila 10% ndio tunajua machungu ya kupigiwa simu na msenge anasema yeye ndio anamiliki demu wakoDahh tukadate toka la sita mpaka 4m 4 mm nikiwa shule x na yeye shule y majib kutoka nikapagwa advanc yy akazingua akafanyaga mpango wa kwenda chuo dahh akabadilika sanaaa mm huku hata sielewi nakomaa na pcb yang nakumbuka ilikuwa siku ya pasaka mchana muda wa msosi nikatumiwa msg kuwa nisiwe na mazoea na wasichana wa watu mhh nikaona nipige maana ilikuwa namba ngen akapokea jamaa akanipiga biti kali wakat huo nasikia mwanadada anacheka sana machoz yananilengalenga mwanadada akachukua simu akasema hawez date na watu wanaovaa uniform dahh mbaya zaid wakiwa bado hawaja kata simu nikasikia yule jamaa anamwambia mwanadada anahamu anataka waendelee achen nyie watu acheni kabisa hii ndo ilikuwa siku yangu ya kwanza kunywa konyagi na kuingia club nakula malaya kiukwel iliniharib akili
Aseeh j popote ulipo ww ni mbwa uliniharibia sana mamaeee dahh omba tusikutane miaka 10 imeshapita ila nikikumbuka naumia mamaee
mkuu, mimi kusema kweli mzee alijitahidi sana nisipate tabu wakati nasoma,nilikuwa napewa 1500 kila siku nilipokuwa primaly ,na olevel mpaka high school nilipewa pesa,sijatoka ushuani but sikuijua shida,nimekuja kupambana na shida chuoni,though nimepitia magumu pia, kwenye maisha pesa sio kila kitudaa form six unamtumi mtu vi hamsini hamsini, kipindi icho nikiwa na buku mbili moyo wangu unaaman kubwa san
hongera mkuu na pole kwa mikasa ya mapenzi, ulikua ka- ATM kanakotembea kwa uyo bidadamkuu, mimi kusema kweli mzee alijitahidi sana nisipate tabu wakati nasoma,nilikuwa napewa 1500 kila siku nilipokuwa primaly ,na olevel mpaka high school nilipewa pesa,sijatoka ushuani but sikuijua shida,nimekuja kupambana na shida chuoni,though nimepitia magumu pia, kwenye maisha pesa sio kila kitu
asante mkuu, mpaka leo ndio maana hawa viumbe nawaona wakatili,yani alinitumia ,bora angesema tu hanielewi mapemahongera mkuu na pole kwa mikasa ya mapenzi, ulikua ka- ATM kanakotembea kwa uyo bidada
Lakini uliyemuacha aliumiaSikuumia maana nilimwacha mwanaume wangu wa kwanza ili niwe na my first love. Burudaaaani.
Yule ms*nge aliniacha jumapili ambayo jumatatu yake tulikuwa na test...sababu yake mammmae zake nikachafua CV ya kuzungusha ile paper (nilipata zero)
Nilikuwa siwezi kula
Siwezi kulia japo natamani kulia lakini machozi hayaji
Nilikuwa mchekaji mzuri lakini siku hizi sicheki kabisaaaa
Popote ulipo ama kama unasoma hapa ujue tu nakuchukia kuliko kawaida!!!na kwa taarifa yako ninae baby mpya nampenda sanaaaaaa
#povu
Halafu bado nakupenda
Ndio hivyo shem.... kwenye tungo tata ndio amani ilipo...Hii ni tungo tata kaka shemeji.
Pole sana mkuuAise niliwahi kumpenda binti mmoja hivi hakuwa mkali sana ila nilimpenda kiasi kwamba wanawake wengine nilikuwa nawaona kama wanaume wenzangu kwa jinsi nilivyompenda.
Licha ya kudumu nae miaka kadhaa lakini sikuwahi kupata hata chembe ya kumsaliti.
Siku moja usiku mida ya mbili usiku akanitumia sms, akaniambia kuwa siwezi kuendelea kuwa nae sabb mimi si hadhi yake na kwanza sijui kuvaa, usiku sikula wala kunywa nilikuwa nashinda na kulala nja na nikipewa chapati mbili simalizi... Nilidhoofika afya mpaka ndugu zangu wakajua kuwa mm mgonjwa ila sitaki kusema kuwa naumwa, kutoka kilo 70 mpk 53 ndani ya mwezi mmoja.
Ilichukua takribani miezi 4 kumsahau.
Nikikutana nae na kuona alivyofubaa naona kuwa maisha yanaenda kasi sana.
Alikuja kukiri siku za usoni kwamba jamaa alimlaghai kwa maneno matamu ndio maana naye aliamua kuandika ujumbe ule kwake ila it's unfortunates hakufanikiwa kufanya lolote..sio siri mkuu huyu dada alinipenda sana pengine kuliko kitu chochot chini ya jua...wakati mwingine nafikiri labda kwa sababu nilikuwa wa kwanza kwake!na uo mchepuko wake wameachana au umeamua kuishi kwa "kizuri kula na mwenzio?"
Mimi ndio mjomba na kila kitu, we njoo tu ujitambulishe na mahari kabisa.So harusi lini
Nije nijitambulishe kwa wajomba na baba
Nilikuwa mkoa nilitia mtu mabanzi mpaka familia mzima kutoka dar, ukoo na polisi walikuja huko mkoani kumuokoa yule msengeee
Nilitulia baada ya bi mkubwa kunituliza maana nilikuwa namsaka kila chochoro na bakora




hukukubali kuachwa kizembeee
