Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

Yule ms*nge aliniacha jumapili ambayo jumatatu yake tulikuwa na test...sababu yake mammmae zake nikachafua CV ya kuzungusha ile paper (nilipata zero)

Nilikuwa siwezi kula
Siwezi kulia japo natamani kulia lakini machozi hayaji
Nilikuwa mchekaji mzuri lakini siku hizi sicheki kabisaaaa

Popote ulipo ama kama unasoma hapa ujue tu nakuchukia kuliko kawaida!!!na kwa taarifa yako ninae baby mpya nampenda sanaaaaaa

#povu

Halafu bado nakupenda

Dua la Kuku
 
We jamaa umenifanya kwa sauti usiku huu, eti nyama ikawa kama likiazi.
BTW pole sana jombaa hawa viumbe ndo maana wengine wanatinduliwa na kuachwa.
Asante sana man,,Hawa ma'manzi ni vigumu sana kuwaelewa.
 
Sikuumia maana nilimwacha mwanaume wangu wa kwanza ili niwe na my first love. Burudaaaani.
huyo jamaa atakuwa ndio wale mabaharia wanaoitaga mchumbaa😂😂😂...so ulimtosa ukaruka na Ben ambaye ndio HB sio
 
Yule ms*nge aliniacha jumapili ambayo jumatatu yake tulikuwa na test...sababu yake mammmae zake nikachafua CV ya kuzungusha ile paper (nilipata zero)

Nilikuwa siwezi kula
Siwezi kulia japo natamani kulia lakini machozi hayaji
Nilikuwa mchekaji mzuri lakini siku hizi sicheki kabisaaaa

Popote ulipo ama kama unasoma hapa ujue tu nakuchukia kuliko kawaida!!!na kwa taarifa yako ninae baby mpya nampenda sanaaaaaa

#povu

Halafu bado nakupenda
Me pia bado nakupenda mpnz
 
Mapenzi sometimes yanaboa sana, binadamu unazaliwa vizuri ukiwa na utu na mapenzi ya kweli ila unapoumizwa kwa mara ya kwanza daah ukipona unageuka mnyama..
ndio maana mnashauriwa muoane wote mkiwa bikra.
 
Daah kuna kaka nilimpenda mno na alikuwa anajua bhasi bhana wee! Alikuwa ananitesa hatari eti sababu nampenda,
ila nilijikaza baada ya kuchoka na mateso niliamua kumuacha nikakaa wiki sijawasiliana nae hakuamini akapiga simu kuuliza kweli ' L' wiki nzima unakaa bila kuwasiliana na mpenzi wako!

Nikamjibu sina vocha, (maana nisipo piga mimi hapigi) ,
ikaenda akawana anapiga akijisikia hata baada ya siku 2,3 lakini moyoni mwangu nikasema huyu simtaki tena sikuwahi kumpigia tena.

kuna siku alipiga alilalamika mno nimebadilika sijui nini na nini sikumpa majibu yakueleweka najidai nipo bize, ikaenda ikaenda akipiga simu sipokei akachoka akapotezea.

Japo niliumia sana mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda si kawaida
Kwa maumivu yale Aisee! Siruhusu tena mapenzi yanitese kiasi kile.
Ulimpenda baharia tatizo 🤣🤣🤣 ila ubaya ni kwamba nawewe kuna mtu angekupenda kwa kiwango hiko hiko ungekuwa unamfanyia visa vya kishamba kama vya huyo baharia.

Mapenzi bana sijui yakoje, unaempenda hadi kufwa yeye wala hana habari nawewe same applies unapopendwa hadi haielezeki pia unazingua😂
 
Aisee.Polen wakuu.Binafsi at 30's sasa bado sijakutana na hii misala.Ukiachana na zile fujo za kwenye mahusiano kabla sijamuoa.Ila kisaikolojia nimeshajipangaga kitambo in case of anything anytime
Huwezi kusema umejipanga, nakuombea mdumu tu...Asije akapata mtu wa kumchocha pemben akadai talaka kinguvu...Tutakuzika na kilo zako ,🤣🤣🤣
 
Hapa ndo nilithibithisha kua mapenzi ni yanauma,
Maumivu nilioyapata sijawai kuyapata tena na naomba yasijieudie, yan huumwi sehemu yoyote ya mwili lakini unaona dunia iko juu chini,
Kwa mara ya kwanza nikashindwa kula.
Chozi linatoka, lecture hazipandi.

Sikua mpenzi wa nyimbo ila nilijikuta nawafahamu kina Bruno Mars, Celine dion, ibra nation, Adele na wengine wengi.
Nilikua nikiangalia picha yake au nikiangalia call history nalia. Sema nilikua najikaza watu wasinione dhaifu.
Hakika haya mambo yasikie. Kwa ambae hayajamkuta hawezi kuelewa hii hali
Ungetuelezea kidogo ilikuaje mkaachana??
 
Hapa wanawake wengi hutamani kunywa sumu, na wanaume hutamani kujinyonga...
duu hii ni kweli kabisa, tena nilifika hadi polini, nikawaza sana ila mwidho wa siku nikaona nirudi room, ila niliwaza kabisa kujinyonga. Ukizingatia jamaa aliekua fitna kwangu alikua around
 
Inauma sana,
Aliniambia ana maongezi muhimu na familia yangu akaniomba niwape taarifa na kuwasisitiza mama na ndugu zangu wawepo siku ya kikao. Nilijitahidi sana kuandaa mazingira mazuri ya kufanyia kikao bila kujua naandaa panga la kunichinjia! Niliachwa mbele ya ndugu zangu.
Sitaisahau siku ile,
Mama watoto popote ulipo Mungu akubariki na akupe umri mrefu na mafanikio wewe na mwanetu, najua ipo siku ukweli utaujua na Mungu atakurudisha mikononi mwangu hata kama itapita miaka 20.
#Evln
Nimecheka nusu nizime
 
Hapa ndo nilithibithisha kua mapenzi ni yanauma,
Maumivu nilioyapata sijawai kuyapata tena na naomba yasijieudie, yan huumwi sehemu yoyote ya mwili lakini unaona dunia iko juu chini,
Kwa mara ya kwanza nikashindwa kula.
Chozi linatoka, lecture hazipandi.

Sikua mpenzi wa nyimbo ila nilijikuta nawafahamu kina Bruno Mars, Celine dion, ibra nation, Adele na wengine wengi.
Nilikua nikiangalia picha yake au nikiangalia call history nalia. Sema nilikua najikaza watu wasinione dhaifu.
Hakika haya mambo yasikie. Kwa ambae hayajamkuta hawezi kuelewa hii hali
Napitia tu comments na mm
naombeni ziwe fupifupi bas
 
Back
Top Bottom