Unakijua Chama Cha KADIMA?

wakati mwingine muwe munajiheshimu
hivi ni nani anaweza kuingia chama
cha watu wenye matusi kama hivi.

acha upumba.vu kwani huyo mtangazaji ni mmarekani?au unaropoka tu,huyo ni mkenya umekalia kuclaim tu,make more sense questions than stupid mistake
 

Hadithi ya kutunga ili 'kupotezea' swala nyeti la mshahara mkubwa wa waziri mkuu wa Tanzania.

Wewe mwenyewe huna tofauti sana na huyo aliyekosea kusema Chadema, na akasema Kadima.

Angalia maandishi yako hapo kwenye blue jinsi ulivyokosea:-
  • Hapa duniani hakuna mji unaoitwa Washingyon DC ...!!
  • Umemsifia kuwa mtangazaji huyo alikuwa amejiandaa wakati hapo hapo unasema ameshindwa hata kutamka jina Chadema..!!!!
  • Umesema kuwa kukosea jina la mtu ni offence, ila Slaa hakukosea jina la mtu ila alikosea jina la kipindi (sio jina la mtu...!!!
  • Hapo kwenye red, Umeandika 'Hapa Slaa kaabisha big time..' sasa tuelewe kuwa 'kaaibisha' au 'kabisha'.

Hebu tujikumbushe kuhusu mshahara mkubwa wa waziri mkuu wa Tanzania, halafu tuone kama hiyo ndio 'sera' nzuri ya CCM ambayo unaitetea sana....
 
Naona unaji mix sana ZeMarcopolo

Katika mahojiano hayo Dr. Slaa ametia aibu mno, lakini kilichosikitisha zaidi ni kwamba mtangazaji wa kipindi hicho Mwiza Munthali alishindwa kabisa kutamka neno CHADEMA na kila mara alikiita chama cha Slaa KADIMA.

 
Last edited by a moderator:
wakati mwingine muwe munajiheshimu
hivi ni nani anaweza kuingia chama
cha watu wenye matusi kama hivi.

Unawakumbuka hawa jamaa wa CCM...
Tuanze na hawa kwanza.....



...a.k.a. Mhe. 'Kibajaji'....a.k.a. Mr. '....daadeki....'!!!!





....Mhe. Peter Serukamba....a.k.a... Mr. 'matusi bungeni' !!!

 
Kwi kwi kwi kwi teh teh teh. You've got a point, mtangazaji aliiona hii picha kabla ya mahojiano:



Hapana.
Mtangazaji alikuwa na picha hii hapa...
Umemuona Seru-Kamba...

Zemarcopolo na Mamndenyi likes this..!!
 
hivi tufike mahali tujiulize watz,bungen vtu vyote viovu(ufisadi n.k) vnafchuliwa na hao wabunge pnzan ni co wa ccm,.huwa najiuliza ni vp huwa hawajui au?? ayaaah leo hii kuna uhuru wa kila mtu kusema chcht wazi ni chama gan kimeleta mwanga mkubwa kwny hlo?? ni hv hawa ccm wametawala kwa zaid ya miaka 50 sas lkn umeme,maji,elim,ajira,miundombnu bado ni tatzo bongo,.tubadilike sio kuwaponda tu wapnzan.!!
 
tatizo lako ni kutumia nadharia kwatika vitu vinavyohitaji vitendo. Umesikiliza majadiliano ya Slaa?

Umesikia jibu alilotoa kuhusu nini Chadema (Kadima) itafanya tofauti na CCM? Slaa amekiri kuwa CCM ina sera nzuri.

Wewe ni sikio la kufa ndo maana mmekalia majungu hapo Lumumba mnapishana kwenye keyboard kuanzisha hoja ziso na mashiko.Kwa ujinga wako hujui theory ndo inafanya practical?Kumekuwa na usemi mara nyingi hapa hujafanya uchunguzi huna haki ya kuongea ila ni kawaida ya CCM uwongo mwingi hata kwenye ahadi za kampeni.Mbona asituwekee clip tusikie?
 
Hatujasahau bado interview ya JK na Obama!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kwenye interview hii, JK atasifia foleni za magari Dar kuwa ni ishara ya 'maendeleo' Tanzania..!!
 
Mwita acha kunichekesha aisee. Mambo ya Mtera muachie Le Mutuz Mbunge wa Mtera.

Hapa tujadili majadiliano ya Katibu Mkuu wa KADIMA...

Anasema KADIMA ina wanachama wengi vijijini kuliko mijini, unakubaliana naye?

Le Mutus ni mbunge wa Mtera tangu lini ???
This is new in Tanzania...!!
Au kuna mapinduzi yametokea leo leo ..!! Ritz anaweza kufafanua hii kadhia mpya.....

 
Last edited by a moderator:
Vipi alikumbuka kusema nimekula hela za rambi rambi ya Mwangosi?

Wewe uko mbali na TZ sana...
Anayekula 'hela' kwa sasa hapa TZ ni huyu hapa...

Wewe uliza mshahara wake kwa mwezi, uambiwe jamaa 'anakunja' kiasi gani...

 

Copy:-
ZeMarcopolo, Mamndenyi, FaizaFoxy na Lizaboni.
 
Last edited by a moderator:
Muda ambao ZeMarcopolo ametumia kubuni hii post angeliutumia kuandika jinsi gani chama chake kinaweza kuepukana na rushwa ingeliuongezea muda wako thamani!
 

U-Spin Doctor mwingine ni majanga!

Wamarekani huchukia sana mtu anapokesea JINA.

Sasa ona ulivyo Spin Doctor wa Majanga, unafurahia na kuchekelea pale Mtangazaji alipokosea through out jina la CHADEMA na kutamka KADIMA, What's up dude?

Ukiwa muongo pia lazima uwe na kumbukumbu.

BTW, Dr. Slaa unayemponda hapa, kumbuka JK 2010 alimkimbia kwenye mdahalo wa wazi. Hapo nani kiazi? Be the JUROR yourself.
 
slaa ameenda kutumbua pesa ya ruzuku inayotokana na kodi zetu huko ulaya na hawara yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…