Unakijua Chama Cha KADIMA?

Unakijua Chama Cha KADIMA?

Haya mkuu tumekusikia. Ila ingekuwa vema mkae pembeni japo kwa term moja baada ya miaka 50 sijui 55 ya huru, waje wengine kama ni CUF ama KADIMA ama PONA waongooze nchi hii tuone nao watalifanyia nini hili taifa. Tusipowakubali basi mtarudi in the future.
Hata nchi zilizoendelea Democrats, Republicans, Labor au Conservatives hawajakaa madarakani miaka 50.
Hebu lifanyieni haki na mlionee huruma hili taifa laitwa Tanzania
 
AMEDANGANYA WAAAPI, ONYESHA.

Kwa siku ya jana tu Slaa amedanganya mara nne hadharani:
1. Amedanganya kuwa amepewa zawadi ya kipekee ambayo mtu mwingine aliyewahi kupewa ni Rais wa Marekani tu. Hii sio kweli.
2. Amedanganya kuwa vyama vya upinzani Tanzania vina absolute majority. Huu ni UONGO.
3. Amedanganya kuwa KADIMA ina wafuasi wengi vijijini kuliko mijini. Hii si sahihi.
4. Amesema kuwa mkakati wa KADIMA ni kutekeleza sera za CCM kwa ufasaha zaidi. Hii sio kweli, Ilani ya KADIMA ni tofauti kabisa na Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Slaa amekubuhu kwa uongo. Huu ni uongo aliiongea mbele ya vyombo vya habari. Ukimfuatilia offline, utakuta katika kila sentensi tano anazotoa, mojawapo ni ya uongo!!!
 
Unakijua chama cha Marekani kilichokuwa kinaitwa Whig Party?

KADIMA inafuata trend ya Whig party, the only deference ni kwamba Whig party ilikuwa na ideology which is something that KADIMA lacks.
 
Unakijua chama cha Marekani kilichokuwa kinaitwa Whig Party?

KADIMA inafuata trend ya Whig party, the only deference ni kwamba Whig party ilikuwa na ideology which is something that KADIMA lacks.
Sijawahi kukisikia. Ndio chama gani? Nimekuwa napiga kura ktk uchaguzi wa Marekani tangu 2004 na sijakiona popote
 
Sijawahi kukisikia. Ndio chama gani? Nimekuwa napiga kura ktk uchaguzi wa Marekani tangu 2004 na sijakiona popote

Jaribu kuangalia historia ya siasa za Marekani. Hicho ni chama ambacho Abraham Lincoln alikuwa mwanchama kabla hajaacha siasa na later kujiunga na Republican Party. Whig imeshatoa marais wanne marekani. It no longer exists...

Whigs walikuwa wapinzania wakubwa wa Rais Andrew Jackson. Wakampachika jina la "Mfalme Jackson". KADIMA wanamuita kikwete mfalme na kulabel CCM kama elitist party, lakini wanakosa ideology inayowatambulisha kama Chama. Mwishowe wanaishia kuwa walaghai, yale wanayoyapinga majukwaani ndio wanayoyafanya nyuma ya pazia!

Kilichowawezesha Whigs kutoa marais ni ideology, KADIMA haina ideology. Haitatoa Rais Tanzania.
 
Mimi ni mtanzania na niko hapa USA. Nimefuatilia vizuri mahojiano ya Dr Slaa na mtangazaji wa Radio. It was excellent! Kwa kweli watanzania kama tumefikia siasa za namna hii nadhani tuna hitilafu kubwa sana katika ubongo. Hoja kama hii iliyoletwa hapa inawafaa watoto wa primary school! Very sad!
 
Jifunze kuwa explicit unapoelezea jambo. Ni nini kilichokufanya uone kuwa majadiliano yalikuwa excellent? Unakubali kuwa KADIMA ina wafuasi wengi vijijini kuliko mijini?
 
Jaribu kuangalia historia ya siasa za Marekani. Hicho ni chama ambacho Abraham Lincoln alikuwa mwanchama kabla hajaacha siasa na later kujiunga na Republican Party. Whig imeshatoa marais wanne marekani. It no longer exists...

Whigs walikuwa wapinzania wakubwa wa Rais Andrew Jackson. Wakampachika jina la "Mfalme Jackson". KADIMA wanamuita kikwete mfalme na kulabel CCM kama elitist party, lakini wanakosa ideology inayowatambulisha kama Chama. Mwishowe wanaishia kuwa walaghai, yale wanayoyapinga majukwaani ndio wanayoyafanya nyuma ya pazia!

Kilichowawezesha Whigs kutoa marais ni ideology, KADIMA haina ideology. Haitatoa Rais Tanzania.

Hapo bongo sijaona chama chochote chenye ideology
 
Uharo mwingine huu....Watu wa design ya Hamy D labda kama ni Hamy D mwenyewe kwa ID tofauti! Ccm mtakuwa wajinga hadi lini? Wenzenu tunatoka analogy kwenda digitaly nyie bado watz wa analogy.....mtahangaika mpka basi,ugaidi chalii,la udini kwishinei,ukanda halijawasaidia na sasa mmekosa hata cha kusema yaani mmeanza kuleta ujinga ujinga humu ndani.Kukosea kutamka maneno ni makosa ya kinature na kibinadamu na ujue moja kuwa huwezi kupingana na nature.Haya makosa hata Mr Dhaifu anekuwa yeye angechapia tu.Hukumbuki kingereza kibovu alichokuwa anakisema JK wakati wa ziara ya Rais wa Marekani hapa nchini?
 
Akili yako haionyeshi kwamba unapaswa kushiriki mijadala kisiasa worldwide,acha kuwapotezea muda watu kujadili kitu usichoenendana nacho ,ni vema ukasubiri kujadili siasa za level yako kama zile za kuingia bungeni na tunguli,uchaguzi wa CCM Nzega Kigwangala kuhonga vitumbua wapiga kura nk. Hizi unazojadili leo bado sana.
 
Jifunze kuwa explicit unapoelezea jambo. Ni nini kilichokufanya uone kuwa majadiliano yalikuwa excellent? Unakubali kuwa KADIMA ina wafuasi wengi vijijini kuliko mijini?

Inaonekana unalipwa pesa nzuri sana kama waweza kugeuka bundi kuwatetea mafisadi na wezi ukakesha usiku kucha wewe ni nouma utapewa udc tu

Mbona hujibu maswali unang(ng(nia KADIMA ni nini hiyo? Aliyeisema ni nani? Mapumbavu mengine bwana taabu kweli,lakini ili mkono uende kinywani you have to do it
 
Hahahaa. . ZeMarcopolo acha kutudanganya... Usidhani ni wewe tu unajua kingeresa ukaamua kupotosha mahojiano ya Slaa... hebu quote majibu ya Slaa kama alivyoongea ndo uweke hizo tafsiri zako...
 
Last edited by a moderator:
KADIMA imenishtua sana;

Kwani huyu slaa anafanya nini huko marekani?
Anajenga chama marekani wakati hapa tanzania
chadema imepoteza mwelekeo.
 
Wakiitwa wazushi wanafunga vibwebwe.

Kwa siku ya jana tu Slaa amedanganya mara nne hadharani:
1. Amedanganya kuwa amepewa zawadi ya kipekee ambayo mtu mwingine aliyewahi kupewa ni Rais wa Marekani tu. Hii sio kweli.
2. Amedanganya kuwa vyama vya upinzani Tanzania vina absolute majority. Huu ni UONGO.
3. Amedanganya kuwa KADIMA ina wafuasi wengi vijijini kuliko mijini. Hii si sahihi.
4. Amesema kuwa mkakati wa KADIMA ni kutekeleza sera za CCM kwa ufasaha zaidi. Hii sio kweli, Ilani ya KADIMA ni tofauti kabisa na Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Slaa amekubuhu kwa uongo. Huu ni uongo aliiongea mbele ya vyombo vya habari. Ukimfuatilia offline, utakuta katika kila sentensi tano anazotoa, mojawapo ni ya uongo!!!
 
KADIMA imenishtua sana;

Kwani huyu slaa anafanya nini huko marekani?
Anajenga chama marekani wakati hapa tanzania
chadema imepoteza mwelekeo.
Mama naona umelewa wanzuki aliyepoteza mwelekeo ni wewe na dume lako chama
 
Last edited by a moderator:
Umesikiliza majadiliano vizuri ukayaelewa? Slaa alijibu nini alipaulizwa chama chake kitafanya kitu gani tofauti na CCM?

You are getting paid to spread lies. To argue with you is a waste of time
 
hahahhahaaaaaa Mpwa wangu ZeMarcopolo una mambo wewe!!!! Ok ok tuseme alikosea kuhojiwa, thats fine, je speech yake uliisoma? umeona ilivyosheheni? Hebu tumia ile speech umkosoe kama utaweza, haya ya kusikiliza au sijui kasema au nimeambiwa utakua kama Raisi wako....
 
Last edited by a moderator:
Leo Slaa alikuwa anahojiwa na redio na WPFW Radio ya Washingyon DC Marekani.

Katika mahojiano hayo Dr. Slaa ametia aibu mno, lakini kilichosikitisha zaidi ni kwamba mtangazaji wa kipindi hicho Mwiza Munthali alishindwa kabisa kutamka neno CHADEMA na kila mara alikiita chama cha Slaa KADIMA.

Kwa lugha nyepesi ni kwamba interview ya Slaa imeshindwa hata kuuza jina la chama!

Kuna mambo kadhaa ambayo Slaa ameaibisha kama ifuatavyo:

1. Mara kadhaa Slaa alishindwa kutamka jina la kipindi anachohojiwa. Jambo hilo lilimfanya mtangazaji kumkumbusha several times kuwa kipindi kinaitwa africaNow baada ya Slaa kukiita AfricaOne. Tone ya mtangazaji ilionyesha wazi kuwa amechukizwa na lack of memory ya Slaa. Kwa wamarekani, kukosea jina la mtu ni offence ndio maana huyu mtangazaji alijisikia offended slaa kukoseakosea jina la kipindi chake.

2. Slaa alishindwa kujibu Chadema itafanya nini tofauti na CCM. Slaa aliishia kusema kuwa CCM ina sera nzuri sana na kwamba wao watakachofanya ni kuhakikisha sera za CCM zinatekelezwa kwa ufasaha zaidi. Wasikilizaji wa Marekani wakisikia hadithi kama hizo wanaona mtu anayesema hivyo is just a job seeker. Wamerakani wanataka kusikia tofauti ya sera, sio siasa za kusema mimi ndio ninajua zaidi kutekeleza sera za mwenzangu!!! Hapa Slaa kaabisha big time.

3. Mtangazaji alidhihirisha kuwa hamuamini Slaa kwa porojo zake mpaka akamwambia hapo inabidi tupate upande wa serikali nao tuusikie unasemaje. Slaa alizidisha chumvi.

4. Mtangazaji amefanya home work yake. Anajua composition ya parliament. Slaa alimdanganya mtangazaji kuwa Chadema (Kadima) ndio chama chenye absolute majority nchini Tanzania. Mtangazaji akamwambia lakini Bungeni mko wachache na chama chenu hakijapenetrate vijijini. Slaa akadanganya tena kuwa eti Chadema (Kadima) ina wafuasi wengi vijijini kuliko mijini. This is not true.
Kadima haina absolute majority kwenye Bunge wala mitaani. Slaa alidhani mtangazaji wa Marekani hajui mambo ya Tanzania, kumbe mtangazaji kajiandaa.

5. Slaa alianza kuongea hadithi za Mwangosi. Mtangazaji akamdhihirishia kuwa anaijua hadithi ya Mwangosi kwa undani na akamtajia jina la Mwangosi kabla hata slaa hajalitaja. Mtangazaji alishajua kuwa Mwangosi ndio single anayotumia Slaa ughaibuni kutafuta sympathy. Hata hivyo mtangazaji alibadilisha topic na kumuuliza Slaa mambo mengine kabla hajamaliza kusimulia hadithi yake pendwa ya Mwangosi.

Kiujumla Slaa katika majadiliano ya leo ametia aibu na ameshindwa kuinadi KADIMA kabisa!!!

My take:
Tunapowaambia kuwa Chadema (KADIMA) ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya Kilaghai ndio muelewe nini tunamaanisha. Slaa kashaanza kuwageuka, sasa hivi anasema CCM ina sera nzuri.

Nyinyi kama mlikuwa mnaitukana CCM mwishowe mtajikuta kawaacha njia panda.

Ameenda Marekani amekuta sera za CCM zinasifiwa na yeye ameanza kusema ni sera nzuri!!!

Akili Kichwani, safari barabarani. Wajinga ndio waliwao...

acha upumba.vu kwani huyo mtangazaji ni mmarekani?au unaropoka tu,huyo ni mkenya umekalia kuclaim tu,make more sense questions than stupid mistake
 
Back
Top Bottom