Unakijua Chama Cha KADIMA?

Unakijua Chama Cha KADIMA?

"Sera za CCM ni nzuri sana, sisi Chadema tunachotaka kukifanya ni kuzitekeleza ipasavyo" - Dr. Slaa.

well well, deep inside kila mwana KADIMA anajua hilo
sema uzandiki ndio unawafanya wasikubali wakiwa hapa nchini
 
Kumbe na nyie mmekubali jina lenu 'GAMBA' !!!!....Ha ha ha..

Mtu akiwaza tofauti au kumpinga Dr. Slaa anapewa jina la gamba/masalia sasa labda inawezekana mtangazaji naye ni gamba/masalia ndiyo maana swala la Mwangosi akalitolea nje.
 
Mkiambiwa Chadema (KADIMA) ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya Kilaghai ndio muelewe nini tunamaanisha. Slaa kashaanza kuwageuka, sasa hivi anasema CCM ina sera nzuri.

Nyinyi kama mlikuwa mnaitukana CCM mwishowe mtajikuta kawaacha njia panda.

Ameenda Marekani amekuta sera za CCM zinasifiwa na yeye ameanza kusema ni sera nzuri!!!

Cc Nduka
 
Last edited by a moderator:
Leo Slaa alikuwa anahojiwa na redio na WPFW Radio ya Washingyon DC Marekani.

Katika mahojiano hayo Dr. Slaa ametia aibu mno, lakini kilichosikitisha zaidi ni kwamba mtangazaji wa kipindi hicho Mwiza Munthali alishindwa kabisa kutamka neno CHADEMA na kila mara alikiita chama cha Slaa KADIMA.

Kwa lugha nyepesi ni kwamba interview ya Slaa imeshindwa hata kuuza jina la chama!

Kuna mambo kadhaa ambayo Slaa ameaibisha kama ifuatavyo:

1. Mara kadhaa Slaa alishindwa kutamka jina la kipindi anachohojiwa. Jambo hilo lilimfanya mtangazaji kumkumbusha several times kuwa kipindi kinaitwa africaNow baada ya Slaa kukiita AfricaOne. Tone ya mtangazaji ilionyesha wazi kuwa amechukizwa na lack of memory ya Slaa. Kwa wamarekani, kukosea jina la mtu ni offence ndio maana huyu mtangazaji alijisikia offended slaa kukoseakosea jina la kipindi chake.

2. Slaa alishindwa kujibu Chadema itafanya nini tofauti na CCM. Slaa aliishia kusema kuwa CCM ina sera nzuri sana na kwamba wao watakachofanya ni kuhakikisha sera za CCM zinatekelezwa kwa ufasaha zaidi. Wasikilizaji wa Marekani wakisikia hadithi kama hizo wanaona mtu anayesema hivyo is just a job seeker. Wamerakani wanataka kusikia tofauti ya sera, sio siasa za kusema mimi ndio ninajua zaidi kutekeleza sera za mwenzangu!!! Hapa Slaa kaabisha big time.

3. Mtangazaji alidhihirisha kuwa hamuamini Slaa kwa porojo zake mpaka akamwambia hapo inabidi tupate upande wa serikali nao tuusikie unasemaje. Slaa alizidisha chumvi.

4. Mtangazaji amefanya home work yake. Anajua composition ya parliament. Slaa alimdanganya mtangazaji kuwa Chadema (Kadima) ndio chama chenye absolute majority nchini Tanzania. Mtangazaji akamwambia lakini Bungeni mko wachache na chama chenu hakijapenetrate vijijini. Slaa akadanganya tena kuwa eti Chadema (Kadima) ina wafuasi wengi vijijini kuliko mijini. This is not true.
Kadima haina absolute majority kwenye Bunge wala mitaani. Slaa alidhani mtangazaji wa Marekani hajui mambo ya Tanzania, kumbe mtangazaji kajiandaa.

5. Slaa alianza kuongea hadithi za Mwangosi. Mtangazaji akamdhihirishia kuwa anaijua hadithi ya Mwangosi kwa undani na akamtajia jina la Mwangosi kabla hata slaa hajalitaja. Mtangazaji alishajua kuwa Mwangosi ndio single anayotumia Slaa ughaibuni kutafuta sympathy. Hata hivyo mtangazaji alibadilisha topic na kumuuliza Slaa mambo mengine kabla hajamaliza kusimulia hadithi yake pendwa ya Mwangosi.

Kiujumla Slaa katika majadiliano ya leo ametia aibu na ameshindwa kuinadi KADIMA kabisa!!!

My take:
Tunapowaambia kuwa Chadema (KADIMA) ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya Kilaghai ndio muelewe nini tunamaanisha. Slaa kashaanza kuwageuka, sasa hivi anasema CCM ina sera nzuri.

Nyinyi kama mlikuwa mnaitukana CCM mwishowe mtajikuta kawaacha njia panda.

Ameenda Marekani amekuta sera za CCM zinasifiwa na yeye ameanza kusema ni sera nzuri!!!

Akili Kichwani, safari barabarani. Wajinga ndio waliwao...
------ yako!
 
Msaidie dada huyo...! I.never knew that period draws brains as well.. Yaani eti ni mada ameileta kada wa ccm.. Huku kujivua nguo huku...!!

Unaongeleaje kitendo cha Dr. Slaa kukiri kuwa CCM ni chama chenye sera nzuri?
 
Slaa amesema CCM ina sera nzuri. Chadema inachotaka ni kupata fursa ya kutekeleza sera za CCM. Je wewe unaonaje?

Ninachokiona sera mnazotumia sio zenu..Mmechukua CDM na ndio maana mmeshindwa kutekeleza..
Tuachieni sera zetu..
Sera ya kilimo ilikua yetu hiyo ni 1..

Unataka nyingine?
 
Ninachokiona sera mnazotumia sio zenu..Mmechukua CDM na ndio maana mmeshindwa kutekeleza..
Tuachieni sera zetu..
Sera ya kilimo ilikua yetu hiyo ni 1..

Unataka nyingine?

hayo ni maneno yako wewe, lakini mwenzio Slaa amesema sera za CCM ni nzuri.

Sera ya Kilimo kuwa uti wa mgongo ipo kabla hata KADIMA haijazaliwa!
 
Ninachokiona sera mnazotumia sio zenu..Mmechukua CDM na ndio maana mmeshindwa kutekeleza..
Tuachieni sera zetu..
Sera ya kilimo ilikua yetu hiyo ni 1..

Unataka nyingine?

Lugha ya Kiswahili nayo ni shida kwako?!

Katibu mkuu wako anasema "SERA ZA CCM" wewe unasema sera zimechukuliwa KADIMA.

Operation Kimbunga inakuhusu.
 
Lugha ya Kiswahili nayo ni shida kwako?!

Katibu mkuu wako anasema "SERA ZA CCM" wewe unasema sera zimechukuliwa KADIMA.

Operation Kimbunga inakuhusu.

Huyo anaweza kunasa kwenye phase two ya operation Kimbunga!
 
Acha Uongo wako.Kama una ujasiri wa kudanganya kitu ambacho kila mtu alisikia ni mangapi ya siri umedanganya?

Alijibu sawasawa kuwa CHADEMA kina majority kwa kambi ya upinzani ndiyo kikaunda kambi hiyo.

Acha Uongo wako

Kwi kwi kwi kwi teh teh teh, vipi kuhusu KADIMA ni uongo pia?
 
Yaana magamba wanachokoza kwa uongo ili tu wajibiwe na wenye hekima na akili cdm...... nyie endeleeli kuvuta bangi na madawa ya kulevya....... ma------ wakubwa nyie
 
Hakuna chama chenye sera mbaya tatizo ni kwenye utekelezaji. Hivi sera zote za CCM zimetekelezwa?
 
Hatujasahau bado interview ya JK na Obama!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaana magamba wanachokoza kwa uongo ili tu wajibiwe na wenye hekima na akili cdm...... nyie endeleeli kuvuta bangi na madawa ya kulevya....... ma------ wakubwa nyie

Cha uongo hapo ni kipi? Umesikiliza mahojiano?
 
Lugha ya Kiswahili nayo ni shida kwako?!

Katibu mkuu wako anasema "SERA ZA CCM" wewe unasema sera zimechukuliwa KADIMA.

Operation Kimbunga inakuhusu.
Naona operation kimbunga itakuhusu wewe..Sababu TZ hatuna chama cha KADIMA ..

Narudia tena.. kama mmeshindwa kutekeleza sera ambazo mnahisi ni zenu..Basi sio zenu mme-copy ..


Nimekupa mfano ya kilimo.. Dr.
Alitoa mifano ya kama nchi ya Japan inaweza kuilisha dunia sisi Tz..tunashindwa vipi.
Baada ya hapo akaeleza mikakati ya CDM katika kilimo..

Aaaaaaah..Tatizo ninaemjibu nae GAMBA ..sijui anaelewa????
 
Hakuna chama chenye sera mbaya tatizo ni kwenye utekelezaji. Hivi sera zote za CCM zimetekelezwa?

Yaani baada ya Slaa kukiri kuwa sera za CCM ni nzuri na wewe umeanza kutambua kuwa sera hizo ni nzuri!!! Kwanini ungoje mpaka Slaa aseme? Kijana amka, fanya maamuzi sahihi.

By the way, vyama vyenye sera mbaya vipo vingi sana. Unajua ukomunist unaokataza watu kusafiri na kumiliki redio? Hizo zote ni sera.
 
Back
Top Bottom