Leo Slaa alikuwa anahojiwa na redio na WPFW Radio ya Washingyon DC Marekani.
Katika mahojiano hayo Dr. Slaa ametia aibu mno, lakini kilichosikitisha zaidi ni kwamba mtangazaji wa kipindi hicho Mwiza Munthali alishindwa kabisa kutamka neno CHADEMA na kila mara alikiita chama cha Slaa KADIMA.
Kwa lugha nyepesi ni kwamba interview ya Slaa imeshindwa hata kuuza jina la chama!
Kuna mambo kadhaa ambayo Slaa ameaibisha kama ifuatavyo:
1. Mara kadhaa Slaa alishindwa kutamka jina la kipindi anachohojiwa. Jambo hilo lilimfanya mtangazaji kumkumbusha several times kuwa kipindi kinaitwa africaNow baada ya Slaa kukiita AfricaOne. Tone ya mtangazaji ilionyesha wazi kuwa amechukizwa na lack of memory ya Slaa. Kwa wamarekani, kukosea jina la mtu ni offence ndio maana huyu mtangazaji alijisikia offended slaa kukoseakosea jina la kipindi chake.
2. Slaa alishindwa kujibu Chadema itafanya nini tofauti na CCM. Slaa aliishia kusema kuwa CCM ina sera nzuri sana na kwamba wao watakachofanya ni kuhakikisha sera za CCM zinatekelezwa kwa ufasaha zaidi. Wasikilizaji wa Marekani wakisikia hadithi kama hizo wanaona mtu anayesema hivyo is just a job seeker. Wamerakani wanataka kusikia tofauti ya sera, sio siasa za kusema mimi ndio ninajua zaidi kutekeleza sera za mwenzangu!!! Hapa Slaa kaabisha big time.
3. Mtangazaji alidhihirisha kuwa hamuamini Slaa kwa porojo zake mpaka akamwambia hapo inabidi tupate upande wa serikali nao tuusikie unasemaje. Slaa alizidisha chumvi.
4. Mtangazaji amefanya home work yake. Anajua composition ya parliament. Slaa alimdanganya mtangazaji kuwa Chadema (Kadima) ndio chama chenye absolute majority nchini Tanzania. Mtangazaji akamwambia lakini Bungeni mko wachache na chama chenu hakijapenetrate vijijini. Slaa akadanganya tena kuwa eti Chadema (Kadima) ina wafuasi wengi vijijini kuliko mijini. This is not true.
Kadima haina absolute majority kwenye Bunge wala mitaani. Slaa alidhani mtangazaji wa Marekani hajui mambo ya Tanzania, kumbe mtangazaji kajiandaa.
5. Slaa alianza kuongea hadithi za Mwangosi. Mtangazaji akamdhihirishia kuwa anaijua hadithi ya Mwangosi kwa undani na akamtajia jina la Mwangosi kabla hata slaa hajalitaja. Mtangazaji alishajua kuwa Mwangosi ndio single anayotumia Slaa ughaibuni kutafuta sympathy. Hata hivyo mtangazaji alibadilisha topic na kumuuliza Slaa mambo mengine kabla hajamaliza kusimulia hadithi yake pendwa ya Mwangosi.
Kiujumla Slaa katika majadiliano ya leo ametia aibu na ameshindwa kuinadi KADIMA kabisa!!!
My take:
Tunapowaambia kuwa Chadema (KADIMA) ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya Kilaghai ndio muelewe nini tunamaanisha. Slaa kashaanza kuwageuka, sasa hivi anasema CCM ina sera nzuri.
Nyinyi kama mlikuwa mnaitukana CCM mwishowe mtajikuta kawaacha njia panda.
Ameenda Marekani amekuta sera za CCM zinasifiwa na yeye ameanza kusema ni sera nzuri!!!
Akili Kichwani, safari barabarani. Wajinga ndio waliwao...[/CO
UKWELI BUKU 7 INAKUTESA KWA AKILI YAKO UNHISI KAMA UTAAMBIWA NJOO CHADEMA UWE KATIBU MWENEZI UNAJIFANYA CHUJIO WAKATI LIKISHA CHUJA LINABAKIA NA UCHAFU. MKASI WENYEWE.HAUKATI MBELE HADI...