Unajua watu fulani wako hatarini kupigwa marufuku kukanyaga Marekani?

Unajua watu fulani wako hatarini kupigwa marufuku kukanyaga Marekani?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,648
Reaction score
10,843
Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?"

Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA!

Taarifa iliyopo ni kuwa Marekani inalifuatilia sakata la wanaharakati kutoka nchi jirani kudhalilishwa walipofika nchini kufuatilia kesi ya Lissu!

Waombe tu ufuatiliaji huo usiwatie hatiani! Vinginevyo, baadhi ya watawala wanaweza wakapigwa marufuku kwenda USA!

Inaweza isifikie huko, lakini sitashangaa pia ikiwa hivyo!
 
Mama Abdul.
Muliro.
Abdul.
Mchengerwa.
Wanu.

Hapo nimetaja watu wa familia moja na askari mmoja
 
Kwani ni lazima waende marekani. Kuna maeneo mengi tu mazuri ya kwenda kuliko hata marekani na unaenda kuenjoy mfano igombe mwanza tanzania. Teh teh natania jamani
 
Kwani ni lazima waende marekani. Kuna maeneo mengi tu mazuri ya kwenda kuliko hata marekani na unaenda kuenjoy mfano igombe mwanza tanzania. Teh teh natania jamani
Igombe ni pa kwenda kuchuma, Marekani ndiyo pa kwenda kuspend!
 
Ndio sababu Askofu Gwajima kaibuka ghafla

WATOTO wao wako Marekani 😁😁

Sasa Maamuzi ya Trump huwaga ya kiujymla sana kama pale Havard
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom