Unajua kuongea lugha ya kabila lako?

Unajua kuongea lugha ya kabila lako?

to be honest, sijui lugha ya kinyumbani, i only know few words na pia watu wakiongea nawasikia.............unachosema kinaweza kuwa kweli kwani nimezaliwa mjini hapa hapa na bibi/babu tushawazika kitambo.........ndio mojawapo ya athari za maendeleo.........hata lugha iliyokuwa inaongelewa nyakati za Yesu, haitumiki sana kama sio kabisa.
Umeona eeeh yaani kidhungu ndiyo wengi wanajua sana kama vipi twende ngery basi ili usidhani tumekuwacha.
 
Jamani hamna wale wale wa Wsap wsap men?
 
Tobaa yailahi shemeji cacico ndo nn kunifanyia ivo wako wa moyoni? Khaaaa
Please Kaizer she is my sister n we are just talk family matters.....hahahahahaha cacico ushafumwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom