Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,251
- 108,226
HP1 habari ya kuHadimika in nzuri Kabisa! Za kwako niaje?
teh teh teh...naona umemrushia jiwe la kiuno!!!
HP1 habari ya kuHadimika in nzuri Kabisa! Za kwako niaje?
Taabu ni hizi nyumba zetu kalenda ya mwaka 2002 mende wameshainyea huwezi iweka sebleni.
Hata kama ni ubahili huu mwingine umezidi,kalenda za bukubuku mbona kibao!
KWA WABAHIRI WA KUNUNUA CALENDER:
Kama una calender ya mwaka 1985, 1991 au ya
mwaka 2002.
Ichukue itumie kwani ni sawa kabisa na ya mwaka
huu 2013.
KWA WABAHIRI WA KUNUNUA CALENDER:
Kama una calender ya mwaka 1985, 1991 au ya
mwaka 2002.
Ichukue itumie kwani ni sawa kabisa na ya mwaka
huu 2013.
Kalenda karatasi ya nini simu zina kalenda tayari..Ni kidijitali zaidi
copy: passion ladyHi Ruttashobolwa karibu hukae nami siti iko hopen
weeeeee nilikua unyagoni kwa siku kadhaa nimerudi,taratibu na waume za watu bibi eeeee,tafuta single mwenzio na LOYA nimemuwekea tego,Gusa unase,Bishanga hukumwambia nini,amtue bby wangu staki mada coz naweza ua mtu!
maneno meeeeengi!!!!!!!!!!!!!!!!!