Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

ahahahhahahhhahha niseme nisisemeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Eiyer nishike!
ahahahahhah nsihike nimesema!
nataka kuharibu hali ya hewa humu sasa hiv!
nishikeni jamani!
Sikushiki mkono kabisaaaaaaaaaaaaaaaa

Mimwenyewe nataka useme...!!!!!!!
 
mhm! naona aibu kuweka hapa
Best mi nataka nipate tu ka uzoefu ka siku hiyo ya kwanza na namna ulivyojisikia tu

BTW:There is something you need to know
Your signature,i like it much........!!!!!!!!!!!!!!!
 
sasa kwani hapa ni swali ni siku ya kwanza ya mtoko au siku ya kwanza ya kunjunja!
af mnataka tuseme siku ya kwanza na yupi?ahahahahha Ennie ukujeeee naweza nikashindwa kudefend haya maswali yangu mwenywe!
mi nataka kujua tu!
hapa mnataka tusemeje kwan? Kaizer fafanulia mwalimu akee swali Asprin ukuje for more clarificasioooo!
 
Last edited by a moderator:
ni baada ya miezi kadhaa. Tuliitaji kufahamiana walau kidogo na tulitaka kuwepo na ukaribu wa kutosha and the thing happened natural yani hatukusema leo ndio leo, no hata yeye alishangaa tulijikuta it has happened na ndio hivyo ikaendelea. Usiulize ilikuwa wapi, imagine hamkupanga, you were just talking and it happened. It was so perfect.
Damn...daaahhhhhhh!!!!!
How was it.......lolzzzzz!!!!!!!!!!
 
sasa kwani hapa ni swali ni siku ya kwanza ya mtoko au siku ya kwanza ya kunjunja!
af mnataka tuseme siku ya kwanza na yupi?ahahahahha Ennie ukujeeee naweza nikashindwa kudefend haya maswali yangu mwenywe!
mi nataka kujua tu!
hapa mnataka tusemeje kwan? Kaizer fafanulia mwalimu akee swali Asprin ukuje for more clarificasioooo!

Sasa unamuita Ennie wa nini?
Huyo ni bingwa wa kuniwekea vikao parokiani

Hapa nataka ile siku ya kwanza mlipoonana kwanza mengine yanafuata...!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
i really cant explain how, but it was so perfect, thats what i can say.

Utamu ulizidieeee
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaa!!!!!!!!!

So mechi ya kwanza na utam wake ndo ulikufanya ujivike pingu ama??
 
Aah nilicheka sana sababu tulikuwa marafiki kwa mwaka mzima nikiwa tayari nimeshamaliza chuo na kuunganisha masters mkoa huo alipo.kwahiyo tulizidi kuwa marafiki sana na ni mtu anaependa utani nikajua anatania as usual nikachekaaa akakasirika huyo akahisi nimemdharau.
 
Nilikutana naye kwao nilipokwenda kumsalimia dada yake. it was love at 1st sight ndo ikawa hivo mpaka leo
 
Kisha.......?????????????
 
Sasa unamuita Ennie wa nini?
Huyo ni bingwa wa kuniwekea vikao parokiani

Hapa nataka ile siku ya kwanza mlipoonana kwanza mengine yanafuata...!!!!!!!!!

asee mi ni kati ya mitoto mitundu kabisa ambayo wazazi waliweza kuwa nayo!duh
the thing was like cap!
by 14 tayari nshajua kurembua na kubinua kawowowo kha!
ahahhahha sio story nzuri kueleza mtu na hishma zangu kama mimi!
tuheshmiane Eiyer
EBOH!
 
Last edited by a moderator:
Nilikutana naye kwao nilipokwenda kumsalimia dada yake. it was love at 1st sight ndo ikawa hivo mpaka leo

Hebu tuambie ilikuwaje alipokupiga vesi????
 
asee mi ni kati ya mitoto mitundu kabisa ambayo wazazi waliweza kuwa nayo!duh
the thing was like cap!
by 14 tayari nshajua kurembua na kubinua kawowowo kha!
ahahhahha sio story nzuri kueleza mtu na hishma zangu kama mimi!
tuheshmiane Eiyer
EBOH!

Damn you ......
Mi nataka nijue mlikutana wapi na ilikuwaje siku hiyo..
We unaleta zako hapa
Hebu mwagika madam eboh!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom