Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Last edited by a moderator:
Mambo mengi banaaaaa !!!!!!!!!!!!!!!!Eiyer unani disappoint kwann unasahausahau af mwanzo wa mwaka huu?hata week haijaisha tangu mwaka uanze...
Me sisahaugi kirahisi had my man hua ananishangaa maana naeza kukumbuka kitu cha miaka kibao imepita naye alisahau siku nying
^^
Halafu utang'ata kucha ukiniona hapa kwa thread! Hafu mi naongeza mapigo ya moyo wangu nikianza kukuambia, hivi "..Samahani Dada, natumai una nafasi moyöni mwako kwa ajili yangu! We ndie Nyota njema nilietumiwa na mbingu! Niambie tulizo la roho yangu, mbingu zimesema harusi yetu lini?.."
^^[/QUOTE
hapo sasa ntakua naendelea kung'ata ng'ata kucha huku nikikuangalia tu kwa aibu...huku natafakar...
Mimi alinipigia simu kuniita kwenye interview...nilipofika tukachelewa kidogo kuanza interview so nikawa ofisini kwake...dah nilipotoka nikakuta kaacha kimemo kwenye bag langu nimtafute jioni....
hahahahahahaha! pole sana watu8 jamani....mie mwenzako sitaki kukumbuka yaliyojiri kwa hao wa kabla ya huyu my husband...mi hupenda kukumbuka yaliyojiri nilipokutana kwa mara ya kwanza na huyu laaziz my husband tu....
He he he, ilikuwa kanisani, and was just a teenager, hanijui simjui . . . .
^^
Halafu utang'ata kucha ukiniona hapa kwa thread! Hafu mi naongeza mapigo ya moyo wangu nikianza kukuambia, hivi "..Samahani Dada, natumai una nafasi moyöni mwako kwa ajili yangu! We ndie Nyota njema nilietumiwa na mbingu! Niambie tulizo la roho yangu, mbingu zimesema harusi yetu lini?.."
^^[/QUOTE
hapo sasa ntakua naendelea kung'ata ng'ata kucha huku nikikuangalia tu kwa aibu...huku natafakar...
^^
Hapo mi naenda na moja kichwani, kuwa zali la mentali, hafu nasikia Eiyer ni baba Paroko, kwa hiyo rahsi sana, tunamwalika Tyta mpiga picha, anatupiga picha!
Aisee! Its possible!
We can Two ten
^^
Na mimi je??
Yaani muanzishe mambo kwenye siredi yangu hivi hivi??
Bora umeamua kufunguka......Mimi hubby wangu tulikuana nae katka gari toka mkoani kuja daslam....nlikua mekaa dirishan ile anaingía nikawa nmegongana nae macho,nkavutiwa nae...Mungu si athuman akaja kukaa katka seat pemben yangu,alnsalimia najifanya bury kumbe cna lolote,ahaa safar ndefu mbona tukazoeana..na the goodthng au bad thng n kua nlikua mgeni jijin sehemu ya kupandia daladala inanichanganya ckumwambia lakin tulivofka akanisindkiza mpaka napoenda...baada ya hapo n kuchat kwa sana kama marafik,badae urafk tupa kule and now we are here...
Yaani mlikwenda kanisani ku .......
Muone kwanza....lol!!!!!