hongereni ......
Vipi siku ya mtoko wa kwanza,ulijisikiaje??
Aaaaahhhhhh bana hebu kumbuka ilikuwaje?
What was his first step??
vipi,kuku alichinjwa siku hiyo??
jamani mbona unataka niachiemchele humu ndani wakati kuku ni wengi bestito
Nilikutana nae kwenye ngazi mabibo hostel mwenyewe nimebeba maji kama power mabula.kulikuwa na shida sana ya maji mabibo hostel akaona anisaidie kupandisha juu coz nilikuwa floor ya kwanza na napanda floor ya tatu na nimebeba ndoo mbili.mtoto nikashukuru pale na kumsindikiza mpaka chini akaendelea na safari zake.nilijua ni mwanafunzi kumbe alikuwa si mwanafunzi bali aliagizwa na rfk ake alete mzigo kwa mdogo wa huyo rafiki yake waliekuwa wanaishi mkoa fulani hivi pamoja.alirudi tena nitafuta baada ya miezi miwili coz alishajua room nnayokaa baada ya kunisaidia kufikisha maji ninapoenda.ghafla tukawa marafiki na mwisho wapenzi.last year afta 5 years of friendship tumefunga ndoa na sasa tunaexpect kupata first born wetu on april.Thank God nimeokota lulu kwenye ngazi.the man is real real in love n treat me like an Angel!
Na kweli unalo ....lolzzzz!!!!!!!!
Vipi mtoko wa kwanza ulikuwaje?
Ulilala kweli siku ya kuamkia siku ya mtoko??
alichinjwa baada ya siku ngapi??????