Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
- Thread starter
- #201
Tayari keshafunguka.....Niombee ruhusa kwa Heaven on Earth. tuna makubaliano ya kutovujisha siri ya penzi letu.
Keshasema mlikutana kwenye kilauri....lol!!!!!!!!!!!!
Tayari keshafunguka.....Niombee ruhusa kwa Heaven on Earth. tuna makubaliano ya kutovujisha siri ya penzi letu.
Nakuongalia tu......
Nahitaji ujibu swali langu hapo juu ...........!!!!!!!!!!
Lete story ya yule unaemlavu ze most
Even mama matesha ...lol!!!!!!!!
ahahahahhaha nakuonea huruma
yu dont even know wht ur asking for!
ahahahahhah nakupenda sana mdogo wangu humu hapatatoshaaaaaa
enh!
shaurilo!
mimi na wanaofaanna na mimi hebu tuwache tuu!
hili sredi tutaharibu hapa bureeee!lol
ahahahahahahha damn yu shemeji!
sijapenda kabisa hili jibu lako!
sasa ndo nini kama nimekudesa!
huyu dogo hajui watu tuna matukio kama wayahudi vile!
toka dunia inaumbwa wana visa na vimbwanga vyao
sasa haya maswala si ni kutaka serve ya jf igome kufanya kazi! Eiyer een h hebu tuwache!
tuwache kabisaaaaa
hapa hii sredi haitufai!
yani ujue itakuwa blaa humu!
oh!
mimi nilikutana nae ofisini alikuwa anakuja kuleta matangazo akawa rafiki yangu nikawa namuelezea mateso ya bf wangu ikaendelea hivyo one day akaniambia nataka kukuoa uko tayari kuwa mke na mama mungu akijali? now ni mke wake na watoto wawili wakiume miaka 5 ya ndoa.. tumepitia mengi mno nashukuru mungu
what if kuna mama matesha the 1st ,2nd and the list continues........................ ahhahaha Asprin mi nakutekia heri ndugu yangu kwenye kuridhisha moyo wa huyu kijana!
ila asiseme sijamuonya!
Ulisema mlianzana nikakuuliza kuanzana ndio nini?
Hya anzia hapo...!!!!!!!!!
Duuu mimi nilikua natembea kuelekea home nikapande daladala jamaa alikua na gari ananiita flani mi nilimcheki kwa jicho baya nikajisemea kirohon.
Watu wengn bwana wakiazima magari ni shida tupu. Niko kweny daladala kumbe na yeye alishuka kweny gari lake kanifata kwny daladala niliposhuka na yy akashuka oooh my god
.....jamaa akaanz mambo unaenda wap nikamwambia bado tu unanifata fata kaniambia naomba namba yko ya simu nikamjibu sina tulipelekana hadi mtaa ya home. Akaniabdikia namba yke kweny karatas .mi sikumzingatia hata .wiki mbili zilipita ndo nikamtafuta
..............kwel tumetoka mbali mimi na g wangu mpk sasa naitwa mama lov u hubby
ukinionea Baby ake na mimi mwambie asisahau kunitafuta
Sasa sijui nitoe exprience ya yupi...
Ngoja niwaze iliyokuwa poa zaidi...
kuanzana i ment kutamkiana tulijikuta tuna fall tu mazima kwa pamoja papa paroko