Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

sasa kwani hapa ni swali ni siku ya kwanza ya mtoko au siku ya kwanza ya kunjunja!
af mnataka tuseme siku ya kwanza na yupi?ahahahahha Ennie ukujeeee naweza nikashindwa kudefend haya maswali yangu mwenywe!
mi nataka kujua tu!
hapa mnataka tusemeje kwan? Kaizer fafanulia mwalimu akee swali Asprin ukuje for more clarificasioooo!

hahahah mwalimu, na haka kaumri ketu huyu dogo anataka tujaze seva za jf kwa msururu wa matukio.

Mi nakumbuka nlishamtongozaga demu kumbe nlishawahi kumgegeda kipindi cha nyuma. Hebu imajin mwalimu si tutaumbuana hadharani hapa?
 
Last edited by a moderator:

Lete story ya yule unaemlavu ze most
Even mama matesha ...lol!!!!!!!!
 
Damn you ......
Mi nataka nijue mlikutana wapi na ilikuwaje siku hiyo..
We unaleta zako hapa
Hebu mwagika madam eboh!!!!!!!!
Damn you mara mia mbili!
maswali gani hapa unataka kufanya watu tuumbuane humu mxiiiiou
sasa manake kuna siku ya kuonana!
ipo ile niliyokisiwa mara kwa nza
ipo ile nilipotest af kitu kikagoma
ipo ile nilipomaliza kabissssssaaa lakini haikuwa hata tamu
ipo ile niliposema haya sasa ureteeeeeee!
ahahahahhahah siku za kwanzza zipo nying Eiyer hebu niwache!
ntajaza server
 
Last edited by a moderator:
Aisee mtu asinimention kwenye hii sredi. Mentor ni bikra.

Shkamoo dada snowhite...
 
Last edited by a moderator:
katika zote nakikumbuka mojantu, tulikutana naye kwenye krismas wote tukiwa tumealikwa tulipendana, tukalianzisha,
 
hahahah mwalimu, na haka kaumri ketu huyu dogo anataka tujaze seva za jf kwa msururu wa matukio.

Mi nakumbuka nlishamtongozaga demu kumbe nlishawahi kumgegeda kipindi cha nyuma. Hebu imajin mwalimu si tutaumbuana hadharani hapa?
ahahahahahahha damn yu shemeji!
sijapenda kabisa hili jibu lako!
sasa ndo nini kama nimekudesa!
huyu dogo hajui watu tuna matukio kama wayahudi vile!
toka dunia inaumbwa wana visa na vimbwanga vyao
sasa haya maswala si ni kutaka serve ya jf igome kufanya kazi! Eiyer een h hebu tuwache!
tuwache kabisaaaaa
hapa hii sredi haitufai!
yani ujue itakuwa blaa humu!
oh!
 
Last edited by a moderator:
Damn you mara mia mbili!
maswali gani hapa unataka kufanya watu tuumbuane humu mxiiiiou
sasa manake kuna siku ya kuonana!
ipo ile niliyokisiwa mara kwa nza
ipo ile nilipotest af kitu kikagoma
ipo ile nilipomaliza kabissssssaaa lakini haikuwa hata tamu
ipo ile niliposema haya sasa ureteeeeeee!
ahahahahhahah siku za kwanzza zipo nying Eiyer hebu niwache!
ntajaza server

Mbona nimeshakuelekeza namna ya kuanza?
Au umeshatumia ile kitu ya Bob saa hizi?

Nimekuambia tuanze na ile siku ya kwanza kuonana......
Haya endelea ......!!!!!!!!!!!!
 
Aisee mtu asinimention kwenye hii sredi. Mentor ni bikra.

Shkamoo dada snowhite...

bora umeniamkia mdogo wangu!
eiyer hanitendeei haki kunilazimisha niseme siku ya kwanza!
na nani?
ni seme lipi?
la lini?
anataka tukio gani la kwanza!
ah mi nalog off bana!
 
Aisee mtu asinimention kwenye hii sredi. Mentor ni bikra.

Shkamoo dada snowhite...

Umemuona Himidini ???
Ameopoa humu humu

Hebu tulia kidogo kuna wengi humu wanazagaa tu .....lolzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Do ze need fuuli bana!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
bora umeniamkia mdogo wangu!
eiyer hanitendeei haki kunilazimisha niseme siku ya kwanza!
na nani?
ni seme lipi?
la lini?
anataka tukio gani la kwanza!
ah mi nalog off bana!

Punguza papara wewe ....!!!!!!!!!!!
 
mimi nilikutana nae ofisini alikuwa anakuja kuleta matangazo akawa rafiki yangu nikawa namuelezea mateso ya bf wangu ikaendelea hivyo one day akaniambia nataka kukuoa uko tayari kuwa mke na mama mungu akijali? now ni mke wake na watoto wawili wakiume miaka 5 ya ndoa.. tumepitia mengi mno nashukuru mungu
 
Mbona nimeshakuelekeza namna ya kuanza?
Au umeshatumia ile kitu ya Bob saa hizi?

Nimekuambia tuanze na ile siku ya kwanza kuonana......
Haya endelea ......!!!!!!!!!!!!
ahahahahhaha nakuonea huruma
yu dont even know wht ur asking for!
ahahahahhah nakupenda sana mdogo wangu humu hapatatoshaaaaaa
enh!
shaurilo!
mimi na wanaofaanna na mimi hebu tuwache tuu!
hili sredi tutaharibu hapa bureeee!lol
 
Back
Top Bottom