hahahaaaaa nani anaifahamu view point lushoto? Mmmhh tulikua hjuu milimani ttukiwa tunaitizama momb kule inakopita barabara ya arusha, unaangalia hadi mazinde kuleee, kuna upepo balaaaa......nilitoroka shule nilikua nasoma high school moja tanga mjini..... Kama umeshasafiri kwenda arusha ukipita mombo ile milima kule juu unayoiona ndio tulikokuwa huko. Hahahaaaa ilikua raha hadi basi nakumbuka tulikaa mahali kulikua na kiji-stream cha maji ya baridiiii, masafi kidume nimebeba juice na biskuti. Mmmhhhh jamani nyie jamani jamani acha kabisa na appointment zetu ilikua kama vile wachawi yaani tukiachana leo tukisema tutaonana next week kwa mfano muda fulani, lazima itakua hivyo, muda ule ule saaa ile ile mahali pale pale unakula kona ya kwanza ya pili unamuona mupenzi huyoooooo.
Juzi kati nilienda lushoto ikabidi nifike kule juuu, nusura machozi yanitoke, tumeshakuwa wakubwa saa hizi na watoto....aaaghh
Nimekufanya ujisikie bombaeeeeee!!!!!!!!!!!
Hongereni na mzidi kupendana!!!!
Mleta maada hapa tunatakiwa kukumbuka wapi?wakwanza,tuliowapenda hatukufanikiwa kuwa nao,tuliofanikiwa kuwa nao ama??maana wengne tunashndwa tuwazungumzie wap...hihi
Eiyer
Anajua kua ulikua unatafuta mzungu?Mie nilimuona kwenye Sherehe,waliishi karibu na my Best friend siku ya sherehe akaniambia huyu mkaka anaringa sana
mie nikamponda sana nikasema girlfriend wake ana shida sana mi siwezi kutoka na mkaka kama huyu hataa
kwanza anaonekana kama PLAYBOY tu..lakin rohoni nilimsifia He was such a GENTLEMAN for real
kuna siku akanikuta kwenye mgahawa fulani tunakula na my friend alikuwa ye na rafiki yake mara ya kwanza
walitupita walivopita tu tukaanza kuwasema hamad hao wakarudi wakatusalimia ka dk 2 then wakasepa...........
baadae akaniambia pale ndio ilikuwa first time kuniona na pale ndio moyo wake ulinidondokea
hakuwahi kunitongoza directly tulizoeana tukajikuta tunafall in LOVE tumepita mengi lakin we are still together
rafiki zangu hadi leo huwa wananicheka sana na kurecall yale maneno yangu niliosemaga kwenye ile sherehe
Mleta maada hapa tunatakiwa kukumbuka wapi?wakwanza,tuliowapenda hatukufanikiwa kuwa nao,tuliofanikiwa kuwa nao ama??maana wengne tunashndwa tuwazungumzie wap...hihi
Eiyer
Anajua kua ulikua unatafuta mzungu?
umetisha!!!