Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Ngoja niende kisamare samare
siku ya kwanza ya kukiss -nilitema mate na mswaki juu
siku ya kwanza kutoka out niliporud home nilibambwa nasoma kadi nkachezea sana kichapo
siku ya kwanza nilipomuona nilikosea wimbo niliokuwa naimba basi zima wakanicheka tulikuwa tunaenda mazishini
siku ya kwanza nilipodo nilibana miguu af nikatoka mbio.nikarud after a year!
Siki ya kwanza nilipo..........ah memory imegoma bana!!

Ni mara ya ngapi uli enjoy hii makitu???

images
 
Nice memory atii..!!!!
Ilikua jmos moja tulibebana na rafiki zangu wakanifundishe kuogelea, ye alikuwa mmojawapo wa watu tuliowakuta kwenye pool katika kufundishana kijana akawa anafatilia darasa na kwa vile ye alikua mtaalam zaid kama fish ndo akajitolea kunifundisha

From then tukaanza kuschedule ratiba zetu sie wawili za kwenda kufundishana, sometime akiniachilia nazama kwa hiyo inabidi anirescue ile kunibeba beba ile ikaanza kuharibu mambo.....u can guess what happened

Ndo amekuwa zombie wangu wa kudumu

Siku ya mtoko wa kwanza ulikuwaje?
 
Haya .....

When you were a little girl
I had dreams and I had plans for you
As a single father I knew
There was gonna be turbulance
Along the way
I did not know that so soon
I' d have to stand on the side
Watch you go through life
Without my guidance you see
I wanted to be there when you cry
I wanted to be there when you smile
I wanted to be there when you play
I wanted to be there all your life
I would say it' s wrong
She' d say it' s right
Words got spoken since
I live in a glass house
I didn' t want no stones to be thrown
I didn' t want no blows to be thrown
But I would hate to see my...
Chorus:
Good girl go bad
Good girl go bad
The games we played
The rhymes you taught me
Everything we did together
Those were the best days of my life
I will always remember
The little girl you were once
I wanted to be there when you cry
I wanted to be there when you smile
I wanted to be there when you play
I wanted to be there all your life
I would say it' s right
She' d say it' s wrong
I would say it' s wrong
She' d say it' s right
Words got spoken since
I live in a glass house
I didn' t want no stones to be thrown
I didn' t want no blows to be thrown
But I would hate to see my...
Chorus:
Good girl go bad
Good girl go bad



Huo hapo mrembo .........!

asante but me ni good girl go good
 
Eiyer una maswali mengi kwan we ni polisi??
 
Last edited by a moderator:
Af uliza weeeeeeeeee post ya mwisho useme na wewe mi nakusubiri tu!!
 
Back
Top Bottom