Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Hakuna exactly place, ila nilikuwa rafiki sana wa rafiki yake na siku ya kwanza alitambulishwa kwamgu pale mdegree, alikuwa ni mpole mnoo mpaka nikawa nawauliza rafiki zake how do you live with this man ila love came between na sasa wananiuliza how do you live with him? Nje ya upole wake, he makes me laugh all the time. I love him.
 
Kuna hii ya jamaa yangu..yeye alikutana na wife wake barabarani usiku....akamkimbiza akampiga mtama..siunajua makabila yetu tena akambeba hadi geto..na maisha yakaanzia hapo.
 
Ha ha ha ha, Eiyer bana

It was heaven on Earth, ndio nikagundua kuwa kumbe nachezea bahati eeh?! Mwanamme si pesa wala mali bana. Pesa na mali vinatafutwa ila mapenzi ni zawadi kutoka mbinguni lol. Unweza kuwa unahangaika kutafuta maembe kwenye mibono wakati mwembe uko pembeni unakushangaa.

Kwa kweli, zombie oyeee, na asipoleta utani, naweka mzigo ndani, sitakagi mchezo moyo ukifika bei. (iwafikie wambea wote, snowhite, watu8 na Nicas Mtei)

Ebanaeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!

Hii nayo kali,mimba kwa mudomooooooooo!!!!!!!!!!!!

Hebu nieleze ilikuwaje siku ya kwanza ya ma deep kisssssssssss
Ulihisi unaelea angani eeeeehhhhhh!!!!!!

CC: Asprin , Kaizer , Dark City .......!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna exactly place, ila nilikuwa rafiki sana wa rafiki yake na siku ya kwanza alitambulishwa kwamgu pale mdegree, alikuwa ni mpole mnoo mpaka nikawa nawauliza rafiki zake how do you live with this man ila love came between na sasa wananiuliza how do you live with him? Nje ya upole wake, he makes me laugh all the time. I love him.

Nani alianza kumtokea mwenzie??
 
siku nilochapwa viboko na mama kwa kuongea tu nae, nililia nkasema sitokaa tena niongee nae, si nkaja kusahau tukaendaaaa hadi tulipo vunja bi%k&&ra
 
Ha ha ha ha, Eiyer bana

It was heaven on Earth, ndio nikagundua kuwa kumbe nachezea bahati eeh?! Mwanamme si pesa wala mali bana. Pesa na mali vinatafutwa ila mapenzi ni zawadi kutoka mbinguni lol. Unweza kuwa unahangaika kutafuta maembe kwenye mibono wakati mwembe uko pembeni unakushangaa.

Kwa kweli, zombie oyeee, na asipoleta utani, naweka mzigo ndani, sitakagi mchezo moyo ukifika bei. (iwafikie wambea wote, snowhite, watu8 na Nicas Mtei)

Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Zombie alikuweza .....lol!!!!!

Sasa ile siku mmeahidiana "mbuzi" anaenda kuchinjwa ulilala kweli?????
 
Kuna hii ya jamaa yangu..yeye alikutana na wife wake barabarani usiku....akamkimbiza akampiga mtama..siunajua makabila yetu tena akambeba hadi geto..na maisha yakaanzia hapo.

CC: Mtambuzi ......lol!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
siku nilochapwa viboko na mama kwa kuongea tu nae, nililia nkasema sitokaa tena niongee nae, si nkaja kusahau tukaendaaaa hadi tulipo vunja bi%k&&ra

Hiyo ya kujunza bikra mlipanga au ilitokea tu kizali kama kawaida ya mechi zetu za uswazii????
 
Usingizi utoke wapi sasa? Ngoja niishie hapa, asije kuwa hapa akanijua bure

Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Zombie alikuweza .....lol!!!!!

Sasa ile siku mmeahidiana "mbuzi" anaenda kuchinjwa ulilala kweli?????
 
nani alianza kumtokea mwenzie??

aliaza yeye, ila alipata tabu sana, anasema alikuwa akipanga mistari anaona bado haijanyooka cause mimi naongea sasa ikabidi awe anajiuliza na kujijibu kwanza kabla hajaja. Huwa nikimkumbusha hataki kabisa maana huwa tunacheka mpaka basi. Really ndio nikajua kumbe kutongoza ni kazi. Mmenikumbusha mbali na hii mada.
 
Zitashuka story za uwongo hapa tele ngoja nione tu...
 
aliaza yeye, ila alipata tabu sana, anasema alikuwa akipanga mistari anaona bado haijanyooka cause mimi naongea sasa ikabidi awe anajiuliza na kujijibu kwanza kabla hajaja. Huwa nikimkumbusha hataki kabisa maana huwa tunacheka mpaka basi. Really ndio nikajua kumbe kutongoza ni kazi. Mmenikumbusha mbali na hii mada.

Hongereni ......
Vipi siku ya mtoko wa kwanza,ulijisikiaje??
 
Back
Top Bottom