Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

images

Babu hebu tukumbushe the first day ya hii makitu aiseeee!!!!!!!!!!!
ahahahag labda kwa picha picha kama hiv
mi siku ya kwanza nilitema mate njia nzima af nilivofika home nkapiga mswaki.lolest
mi staki jamani!!
 
  • Thanks
Reactions: awp
ahahahag labda kwa picha picha kama hiv
mi siku ya kwanza nilitema mate njia nzima af nilivofika home nkapiga mswaki.lolest
mi staki jamani!!

Je mlifika huku?

images


Looooollzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!
 
Hahahah umeona sasa. Hiyo shemeji uloniita damn huoni umeniongezea list ya nlokutana nao mara ya kwanza?

Ahhahaha af imenitoka tu!
Eiyer tunaomba pooh bana tutaumbuka wazee wa mji hapa!!
Endelea na kina Mentor bana them still have a lot to share.
Tunapata kigugumiz ujue.
Tafaaaadhal.
 
Last edited by a moderator:
Eiyer anataka umkumbushe first day ilikuaje

halafu wewe Eiyer hizo picha unazoweka hizo ujue wengine tuko kwa wakolon

sasa wadudu wakiamka sijui nani atawwabembeleza walale tena

Unani PM tu namaliza kila kitu via Bluetooth....!!!!!!!!!
 
yap kama kawa, yani hatukutongozana kabisa, kitu ucheshi wangu, basi da nilifaudu. uwa kila x.mas nakumbukaga sana.

Kwenye mtoko wa kwanza ilikuwaje mkuu??
 
Je mlifika huku?

images


Looooollzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!

Asprin usiingie kwny hu mtego wa huyy dogo
ahahahaha sijui itabid akuwekee picha ngapi ili memory iweze kuwa retrieved!!!
I hate yu Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Ahhahaha af imenitoka tu!
Eiyer tunaomba pooh bana tutaumbuka wazee wa mji hapa!!
Endelea na kina Mentor bana them still have a lot to share.
Tunapata kigugumiz ujue.
Tafaaaadhal.
Hii inawahusu wote na sitaki maneno yako hapa
Tafadhali funguka ......!!!!!!!!!
 
Asprin usiingie kwny hu mtego wa huyy dogo
ahahahaha sijui itabid akuwekee picha ngapi ili memory iweze kuwa retrieved!!!
I hate yu Eiyer

Hebu jibu swali langu wewe
Mlifika huko??

I don't care if you hate me or love me
Just unswer mya question........!!!!!
 
Nakumbuka ilikua ni Primary School...shule yao ilifanyiwa upgrade na kuwa Secondary School wanafunzi ikabidi wagawanywe kwenye mashule ya karibu sasa mojawapo ya group likatua shuleni kwetu yeye akiwemo ndani...Nakumbuka ilikua ni mwezi wa saba baada ya likizo ya May-June Darasa la nne nilichelewa kufika shule kama wiki moja.Ile kufika mwalimu wa darasa akachagua class representatives(monitor&Monitress) wapya, mimi na yeye tuliibuka kidedea tukifuatiwa na wasaidizi wetu wawili...Basi alikua mrembo kweli kweli na kwao walijiweza sana hata uniform na viatu vyake vilikua tofauti kabisa na wanafunzi wengine.Hatukuwahi kuongea chochote mpaka tunamaliza darasa la saba zaidi ya kukusanya daftari na kupeleka stuff room.Siku tunamaliza paper ya std VII akanifuata akasema Rural Swagga twende nikakununulie soda coz hatutaonana tena nilifurahi sanaa..na siku hiyo nikamsindikiza mpaka kwao mm nakaa MAJENGO yeye anaishi KCMC nilifurahi sana na Ndio ukawa mwisho wa kuonana kwetu mpaka mwaka juzi february 2011 nikiwa ndani ya South African Airways (Dar-Joz) flight no SA 184(nakumbuka coz ndio nilivyomsevu kwa phonebook yangu) Sit no sikumbuki Economy class... yeye pamoja na mwenzake ndio walikua wahudumu mule ndani...Nikamwita flani akajibu flani basi msitake kujua kilichotokea baadae...tumebahatika kupata mtoto mmoja wa kike na yeye ameacha ile kazi sasa anafanya kazi Dar awe karibu na Monitor wake. Na Mungu akijaalia mwaka huu mwezi wa 5 ni cherekochereko...I LOVE U J...najua utasoma huu uzi mama.
 
Jf raha tupu, ila snowite umenichekesha sana eti ulitema mate njia mzima na mswaki juu
 
Last edited by a moderator:
Kwenye mtoko wa kwanza ilikuwaje mkuu??
du mtoko kaka ilikuwa pouwa sana, sababu alikuja kwangu zen jioni tukaenda eneo fulani hivi, tulienjoy sana ila hamna mtu aliyekuwa na aibu na mwenzake. ningekuwekea na picha ila sema ndo hivyo JF chunga kucha.
 
Nakumbuka ilikua ni Primary School...shule yao ilifanyiwa upgrade na kuwa Secondary School wanafunzi ikabidi wagawanywe kwenye mashule ya karibu sasa mojawapo ya group likatua shuleni kwetu yeye akiwemo ndani...Nakumbuka ilikua ni mwezi wa saba baada ya likizo ya May-June Darasa la nne nilichelewa kufika shule kama wiki moja.Ile kufika mwalimu wa darasa akachagua class representatives(monitor&Monitress) wapya, mimi na yeye tuliibuka kidedea tukifuatiwa na wasaidizi wetu wawili...Basi alikua mrembo kweli kweli na kwao walijiweza sana hata uniform na viatu vyake vilikua tofauti kabisa na wanafunzi wengine.Hatukuwahi kuongea chochote mpaka tunamaliza darasa la saba zaidi ya kukusanya daftari na kupeleka stuff room.Siku tunamaliza paper ya std VII akanifuata akasema Rural Swagga twende nikakununulie soda coz hatutaonana tena nilifurahi sanaa..na siku hiyo nikamsindikiza mpaka kwao mm nakaa MAJENGO yeye anaishi KCMC nilifurahi sana na Ndio ukawa mwisho wa kuonana kwetu mpaka mwaka juzi february 2011 nikiwa ndani ya South African Airways (Dar-Joz) flight no SA 184(nakumbuka coz ndio nilivyomsevu kwa phonebook yangu) Sit no sikumbuki Economy class... yeye pamoja na mwenzake ndio walikua wahudumu mule ndani...Nikamwita flani akajibu flani basi msitake kujua kilichotokea baadae...tumebahatika kupata mtoto mmoja wa kike na yeye ameacha ile kazi sasa anafanya kazi Dar awe karibu na Monitor wake na Mungu akijaalia mwaka huu mwezi wa 5 ni cherekochereko...I LOVE U J...najua utasoma huu uzi mama.

Dahhhhhh!!!!!!!!!
Hebu tuambie mtoko wenu wa kwanza ulikuwaje???
 
Back
Top Bottom