Nimekukumbusha hadi wapi vileeeee???
KDC au Kiborloni....???????????
Mkuu mlifika huku?
![]()
Haijaisha hiyo...
Unaona watu wanavyopata raha...?????
Mkuu mlifika huku?
![]()
Wapo hadi leo???
Ndo umeamua kunianikia matusi ulonitukana moyoniMie nilimuona kwenye Sherehe,waliishi karibu na my Best friend siku ya sherehe akaniambia huyu mkaka anaringa sana
mie nikamponda sana nikasema girlfriend wake ana shida sana mi siwezi kutoka na mkaka kama huyu hataa
kwanza anaonekana kama PLAYBOY tu..lakin rohoni nilimsifia He was such a GENTLEMAN for real
kuna siku akanikuta kwenye mgahawa fulani tunakula na my friend alikuwa ye na rafiki yake mara ya kwanza
walitupita walivopita tu tukaanza kuwasema hamad hao wakarudi wakatusalimia ka dk 2 then wakasepa...........
baadae akaniambia pale ndio ilikuwa first time kuniona na pale ndio moyo wake ulinidondokea
hakuwahi kunitongoza directly tulizoeana tukajikuta tunafall in LOVE tumepita mengi lakin we are still together
rafiki zangu hadi leo huwa wananicheka sana na kurecall yale maneno yangu niliosemaga kwenye ile sherehe
Mamba au mombo???
Tunakosa mengi sana aiseee...!!!!!!!!!!!!!!