Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,660
- 7,948
Hiyo operation kimbunga ikoje mkuu??
Haaaa haaaa haaaa haaaa teeeh Haaa haaa, wahamiaji haramu mkuu kutoka kwa PK, Kabila, Nkurunzinza na M7 camps
Hiyo operation kimbunga ikoje mkuu??
Mkuu hata lifestyle yake tu ilianza kunipa mashaka, ubusy mwingi...muda wowote anapigiwa simu na maongezi yanaishia hapo anasepa!
Pia kuna baadhi ya sehemu alikuwa hawezi kabisa kuingia, na anaishia kutoa sababu ambazo hazieleweki!
😀😀😀😀😀😀Hahahah!! Ok, here we go...
....
Najua watu wa dizaini yako, najua unachojaribu ku-insinuate... Najua unataka watu wakuoneje, najua unataka watu wakuhisi wewe ni nani...
You are not.. Stop pretending.... Its pathetic!!
.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ndo kwanza nna miaka 28. Na ndo kwanza naanza kufuata hizo taratibu zilizotolewa hapo ili siku moja wanione hawa jamaa...
Ila nahisi kukata tamaa mapema,maana nahisi ntahangaika na hizo sijui kujua Kichina,sijui Kikorea,mara Kihindi... Hadi nkavijue hvyo miaka 35 tayari.
The bod vipi hapo ntakuwa bado nipo kwenye target???
Ama niachane na hizi habari nifanye mambo mengine?
Ngoja nikusaidie kitu kimoja mkuu kama sio viwili au kadhaa...Mimi ndo kwanza nna miaka 28. Na ndo kwanza naanza kufuata hizo taratibu zilizotolewa hapo ili siku moja wanione hawa jamaa...
Ila nahisi kukata tamaa mapema,maana nahisi ntahangaika na hizo sijui kujua Kichina,sijui Kikorea,mara Kihindi... Hadi nkavijue hvyo miaka 35 tayari.
The bod vipi hapo ntakuwa bado nipo kwenye target???
Ama niachane na hizi habari nifanye mambo mengine?
Yeye alisha diclere interest kwamba yeye siyo afisa usalama wala hajawahi kuwa.....ila alijifunza haya mambo na ka shea ..,.,,na mimi sioni kosalake....na namkubali pia....mwacheni😀😀😀😀😀😀
The bold;Kwahiyo unaposoma hili andiko fupi na siku utakaposoma makala kamili nitakapo iweka ni muhimu kuzingatia hilo, am not one of them!
Nina uzoefu tu wa kusikia kutoka kwa wahusika na walio karibu nao na pia natafiti sana.
THE BOLD
Unaweza kunisaidia ni kwa nn ukionyesha kuitaka ndo hufai? Na kwa nn kwa asiye ipenda ndo anaweza kupewa, what's the theory behind?Ngoja nikusaidie kitu kimoja mkuu kama sio viwili au kadhaa...
Hii kazi inaendaga kwa wale ambao hawaitaki kabisa!!! Yani wale ambao hawana time nayo either wanaijua au hawaijui ndo wanatakiwa!!! Ni kwamba kadri unavozidi kuitamani ndivo na yenyewe inavozidi kukukimbia!!! So,we fanya mambo mengine tu!!! Kama kweli Mungu amekupangia kuwa huku basi nawe utakuwa tu,nitarudi..
Binafsi sioni ni kwanini watu wanataka kufanya kazi idara hii ya sasa. Wamefanya mambo gani ya kujivunia zaidi ya kulinda viongozi? Ni umaskini na ukosefu wa ajira tu ndo unaweza kumfanya mtu atamani kufanya kazi huko ili aje bar atutambie na kitambulisho chake cha 'bibi na bwana' huku Twiga wetu wanapanda ndege na watu wanauawa kama kuku huko Kibiti!
So tutayamaliza wenyewe...
If TISS has a problem with me they have my number... Tutamaliza kiutu uzima... Wataniambia niondoe Uzi na nitaondoa... sio hizi ngonjera unazoleta hapa...
Siku njema..
Pole sana mkuuNilikuwa natamani sana kuwa Kipepeo ila baadae nikasitisha baada ya nikang'amua kuwa nina tatizo la kuzaliwa "Figo yangu moja haifanyi Kazi vizuri, na sijui nilikuaje"! Mungu ni mwema
Nadhan ayo mambo kama kuokota ela tu ukifikiria sana kwamba utaokota huwezi okota ila mambo huja tu suddenly bila matarajioUnaweza kunisaidia ni kwa nn ukionyesha kuitaka ndo hufai? Na kwa nn kwa asiye ipenda ndo anaweza kupewa, what's the theory behind?