Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Hahahah!! Ok, here we go...

Unauliza nimeandika kwa maslahi ya nani??
Jibu: kwa maslahi ya vijana wote wenye matamanio ya kuingia katika huu utumishi... Matamanio yao ya kuitumikia nchi yao ni matamanio memo na yanapaswa kuchochewa...

Umeuliza kwa nini nimeandika hisia zangu??

Jibu: Nafahamu kuhusu nilichokiandika hapa zaidi ya maneno haya unayoyaona nimeandika hapa... Ila kwa kuzingatia sheria za nchi na tamaduni za usiri wa idara hiyo siwezi kuandika kila kitu...

Hakuna ubaya wa kuandika utashi wako (unaweza kuita hisia ukipenda)

Unasema ni kosa hiki nilichoandika??

Jibu: sidhani kama unaijua hata sheria ya kuanzishwa kwa idara ya usalama wa Taifa... Nenda kaisoma ndipi utajua nini ni siri na nini si siri... Kipi kinapswa kuzungumzwa na kipi hakipaswi kuzungumzwa...

Unasema nina lengo gani??

Jibu: unarudia swali lile lile kila baada ya aya moja. Nimekujibu hapo juu...

Unauliza wapi nimeambiwa kuna haja ya kuwapa watu somo.

Jibu: sidhani kama unatambua haki na wajibu wa mwananchi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Nenda kasome.

Niko tayari kuwajibika kama itajenga "myth" kwenye jamii?

Jibu: mimi ni muwajibikaji tangu siku ya kwanza natoka kwenye tumbo la mama yangu.

Na kama andiko hili lingekuwa na shida yeyote... Wahusika wenyewe wangenitaarifu mpaka muda huu... They know me... Na si Mara moja au mbili wameniambia nisiandike kuhusu kitu Fulani... So tutayamaliza wenyewe...

Mwisho..

Najua watu wa dizaini yako, najua unachojaribu ku-insinuate... Najua unataka watu wakuoneje, najua unataka watu wakuhisi wewe ni nani...

You are not.. Stop pretending.... Its pathetic!!

If TISS has a problem with me they have my number... Tutamaliza kiutu uzima... Wataniambia niondoe Uzi na nitaondoa... sio hizi ngonjera unazoleta hapa...

Siku njema..
The bold Hakika we Ni genius
 
Ahsante Shemeji.

Mimi ni Afisa Usalama wa Kabila langu. Haya Majukumu yananitosha. Hahaha, hayo mengine ya kujihangaisha sihitaji kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Hahahah!! Ok, here we go...

Unauliza nimeandika kwa maslahi ya nani??
Jibu: kwa maslahi ya vijana wote wenye matamanio ya kuingia katika huu utumishi... Matamanio yao ya kuitumikia nchi yao ni matamanio memo na yanapaswa kuchochewa...

Umeuliza kwa nini nimeandika hisia zangu??

Jibu: Nafahamu kuhusu nilichokiandika hapa zaidi ya maneno haya unayoyaona nimeandika hapa... Ila kwa kuzingatia sheria za nchi na tamaduni za usiri wa idara hiyo siwezi kuandika kila kitu...

Hakuna ubaya wa kuandika utashi wako (unaweza kuita hisia ukipenda)

Unasema ni kosa hiki nilichoandika??

Jibu: sidhani kama unaijua hata sheria ya kuanzishwa kwa idara ya usalama wa Taifa... Nenda kaisoma ndipi utajua nini ni siri na nini si siri... Kipi kinapswa kuzungumzwa na kipi hakipaswi kuzungumzwa...

Unasema nina lengo gani??

Jibu: unarudia swali lile lile kila baada ya aya moja. Nimekujibu hapo juu...

Unauliza wapi nimeambiwa kuna haja ya kuwapa watu somo.

Jibu: sidhani kama unatambua haki na wajibu wa mwananchi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Nenda kasome.

Niko tayari kuwajibika kama itajenga "myth" kwenye jamii?

Jibu: mimi ni muwajibikaji tangu siku ya kwanza natoka kwenye tumbo la mama yangu.

Na kama andiko hili lingekuwa na shida yeyote... Wahusika wenyewe wangenitaarifu mpaka muda huu... They know me... Na si Mara moja au mbili wameniambia nisiandike kuhusu kitu Fulani... So tutayamaliza wenyewe...

Mwisho..

Najua watu wa dizaini yako, najua unachojaribu ku-insinuate... Najua unataka watu wakuoneje, najua unataka watu wakuhisi wewe ni nani...

You are not.. Stop pretending.... Its pathetic!!

If TISS has a problem with me they have my number... Tutamaliza kiutu uzima... Wataniambia niondoe Uzi na nitaondoa... sio hizi ngonjera unazoleta hapa...

Siku njema..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wakirudi naomba uniite tafadhali.
 
The Bold asante sana mkuu kwa makala yako nzuuri sana. Ila naomba kuuliza swali hivi unaweza kutumiwa na Idara ya Usalama wa Taifa bila ya wewe kujijua (Yaani uanwafanyia kazi bila ya wewe kujua)
 
Amesema angalia comment ya The bold namba # 4 kwenye page 1.

Amesema, kwa kumjibu mtu maswali.

Tatizo lako husomi comments za wengine unasoma uzi tu.

Pumba.fu sana weye (just kidding 🙂🙂)
Ahsante kwa kunitukana badala ya kujibu swali langu
 
Kuna wakati nilivutiwa na mdada mmoja, ila katika kumfatilia ikaja kugundua ni mtumishi wa TISS, japo nilianza kumpenda nikawa sina namna ikabidi nianze kumkwepa, yote hii baada ya kusikia kwamba ukiwa na mahusiano na mtu wa huko, na mnataka kwenda step nyingine ahead lazima waanze kukukufatilia, na mwisho wa siku mpaka apate aprove ndo aendelee mbele!

Mimi niliona hizi zote ni complications na zinaweza nipa shida huko mbeleni, swali langu je inawezekana mtu wa kawaida kuoa/kuolewa na mtu wa huko? Je changamoto hasa ni zipi? Nilikuwa sahihi kumkwepa au ni woga wangu tu??
 
Mimi , nimeelewa kuwa wewe utakuwa ni mkorofi au mtu wa hovyo.

Kwa sababu, kama unajiiamini kuwa huna matatizo maishani mwako usingeogopa na Kweli umempenda mtu kufatiliwa tu ndiyo ukaogopa au wewe kibaka au mpiga deal ama wewe ni zao la operation kimbunga!?

Any way, wale ni binadamu Kama wengine tu ila ngoja "The bold" alete majibu mubashara.
 
Hahahah!! Ok, here we go...

Unauliza nimeandika kwa maslahi ya nani??
Jibu: kwa maslahi ya vijana wote wenye matamanio ya kuingia katika huu utumishi... Matamanio yao ya kuitumikia nchi yao ni matamanio memo na yanapaswa kuchochewa...

Umeuliza kwa nini nimeandika hisia zangu??

Jibu: Nafahamu kuhusu nilichokiandika hapa zaidi ya maneno haya unayoyaona nimeandika hapa... Ila kwa kuzingatia sheria za nchi na tamaduni za usiri wa idara hiyo siwezi kuandika kila kitu...

Hakuna ubaya wa kuandika utashi wako (unaweza kuita hisia ukipenda)

Unasema ni kosa hiki nilichoandika??

Jibu: sidhani kama unaijua hata sheria ya kuanzishwa kwa idara ya usalama wa Taifa... Nenda kaisoma ndipi utajua nini ni siri na nini si siri... Kipi kinapswa kuzungumzwa na kipi hakipaswi kuzungumzwa...

Unasema nina lengo gani??

Jibu: unarudia swali lile lile kila baada ya aya moja. Nimekujibu hapo juu...

Unauliza wapi nimeambiwa kuna haja ya kuwapa watu somo.

Jibu: sidhani kama unatambua haki na wajibu wa mwananchi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Nenda kasome.

Niko tayari kuwajibika kama itajenga "myth" kwenye jamii?

Jibu: mimi ni muwajibikaji tangu siku ya kwanza natoka kwenye tumbo la mama yangu.

Na kama andiko hili lingekuwa na shida yeyote... Wahusika wenyewe wangenitaarifu mpaka muda huu... They know me... Na si Mara moja au mbili wameniambia nisiandike kuhusu kitu Fulani... So tutayamaliza wenyewe...

Mwisho..

Najua watu wa dizaini yako, najua unachojaribu ku-insinuate... Najua unataka watu wakuoneje, najua unataka watu wakuhisi wewe ni nani...

You are not.. Stop pretending.... Its pathetic!!

If TISS has a problem with me they have my number... Tutamaliza kiutu uzima... Wataniambia niondoe Uzi na nitaondoa... sio hizi ngonjera unazoleta hapa...

Siku njema..
Natamani muonane USO kwa USO ili inoge vzri Hahahaha ccm vs cdm Ila usiniulize nani ccm nani cdm
 
The bold

As was said

Spying is not a glamorous lifestyle. Once a person starts, the initial euphoria (happiness) wears off quickly and they find themselves trapped with an exhausting ‘second’ job where any minute they may get caught.

Hivyo sio kazi ndogo kaka yangu
Samahn kiswahili ingenoga sana wengi tunajua kusoma na kuandika kiswahili
 
Mimi , nimeelewa kuwa wewe utakuwa ni mkorofi au mtu wa hovyo.

Kwa sababu, kama unajiiamini kuwa huna matatizo maishani mwako usingeogopa na Kweli umempenda mtu kufatiliwa tu ndiyo ukaogopa au wewe kibaka au mpiga deal ama wewe ni zao la operation kimbunga!?

Any way, wale ni binadamu Kama wengine tu ila ngoja "The bold" alete majibu mubashara.
Mkuu hata lifestyle yake tu ilianza kunipa mashaka, ubusy mwingi...muda wowote anapigiwa simu na maongezi yanaishia hapo anasepa!
Pia kuna baadhi ya sehemu alikuwa hawezi kabisa kuingia, na anaishia kutoa sababu ambazo hazieleweki!
 
Mimi , nimeelewa kuwa wewe utakuwa ni mkorofi au mtu wa hovyo.

Kwa sababu, kama unajiiamini kuwa huna matatizo maishani mwako usingeogopa na Kweli umempenda mtu kufatiliwa tu ndiyo ukaogopa au wewe kibaka au mpiga deal ama wewe ni zao la operation kimbunga!?

Any way, wale ni binadamu Kama wengine tu ila ngoja "The bold" alete majibu mubashara.
Hiyo operation kimbunga ikoje mkuu??
 
Back
Top Bottom