Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Uzi mzuri natamani nichangie ila sipo vizuri kwenye kuandika bali nipo vizuri kwenye kuongea mniwie radhi.
 
Naomba kufahamu mtoa mda! Boss mpya wa tiss ni askofu wa kanisa gani?
 
Hiii kazi niliipenda lakini sikuweza kufanikiwa kwani umri wangu ulikua 35
 
Very good point!! This makes it much easier kuwa spotted kwa urahisi zaidi...

Na ukiwa na kampuni ya namma hii ni lazima "wakufahamu"
Sidhani kama sheria zetu zinaruhusu I wish to be a private investigator
 
Hiyo freedom of expression kuna watu wanaitamani lakini hawapati, unafikiri Sudani huko, Libya hawahiyaji, wanautaka siku kikinuka utaenda kudai haki zako huko mochwari uliza Tutsi na Hutus ilikuwaje. Kuna watu wanakupigania na wengine walikufa wakikutetea ili mdomo wako useme huo Uhuru. Kama ungekuwa Israel na ukamdhalau Moshe Dayan you were deserved to be killed
Hv unafikiri nchi zenye matatizo hazikuwa na usalama wa taifa?
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji119] timamu haswaaa
 
Mwandishi una qualification gani ya kuyajua mambo haya, ni mstaafu wa idara hiyo?
 
Unamaanisha nini ukisema kuwa, ataishia kutumika tu!?
Anaweza akakubalika kwa nchi nyingine lakini lengo lakumchukua likishakamilika na habari yake ikaishia hapohapo ,ikumbukwe wazawa ambao wapo ndani ya idara hii muda mwingine hutumika tu ilikufanikisha jambo fulani sembuse mtu asie mzawa tena umejipeleka mwenyewe !! Japo kukubalika na nchi nyingine ni jambo gumu sana kutokea labda wakutae wao na mpaka wakutake una kitu cha pekee sana.
 
Ni utafiti wa yale anayoyasikia na kuyasoma. Siyo lazima uwe mwana idara au mstaafu ili uyajue hayo aliyoyaandika The bold, ni kujiongeza na kutafiti.

Kwa hiyo hana first hand knowledge, hana citable sources, hana professional authority, hana lolote la kuongelea suala hili.

Ni simulizi zake za kusikia, kuokoteza na kubahatisha ukweli, uvumi na uongo mumo mumo. Manake nyeti za Usalama wa Taifa hapa Tanzania haziandikwi popote, huwezi sema "nimesoma mahala," utakuwa muongo.

Sasa utatoaje ushauri wa jinsi ya kupata kazi Usalama wakati hujawahi kupata kazi hiyo na hujui lolote la idara hiyo? Totally ridiculous.
 
The Bold,

Hizi ni hisia zako kama ulivyokiri kule juu!
Sijaelewa kwanini uandike hisia zako hapa? Kwa lengo gani?
Unawapaje watu "somo" lililojikita katika "hisia zako" kwa maslahi ya nani? Maana taasisi hiyo nyeti yenye weledi ingeona kuna hitaji la kutoa "somo" kama hilo bila shaka wangelifanya wao siku nyingi kabla hata hujazaliwa kwa namna bora ya kuwafaa kama taasisi. Lakini bila shaka hawajaona umuhimu huo wala faida ya kutoa somo hilo,Kwanini jukumu hilo unajipa wewe?

Je,hujui kuwa kutangaza kwa umma hisia zako juu ya chombo cha dola ambacho hata sheria yenyewe ya kuwepo kwake inatambua usiri ni kosa?

Unataka kuwaambia umma hisia zako juu ya namna ya ku-recruit ili uifunze nini? kwa minajiri gani? kwa maslahi ya nani? ya taasisi au ya umma?

Wapi umeambiwa kuwa zoezi hilo kuna haja la kuwapa watu "somo" kama ulilokuja nalo hapa juu?

Je,vipi kama somo la hisia zako katika hadhara hii,sio sahihi na zimepelekea "myths" kwa jamii na somo lako likawaletea shida taasisi kwa sababu ya kufundisha vitu visivyo vya kweli. upo tayari kuwajibika?

Je,upo tayari kubeba dhamana ya hisia zako?

Sawa mkuu.. Bila shaka
 
Akijibu nishtue!!
 
Hahahah!! Ok, here we go...

Unauliza nimeandika kwa maslahi ya nani??
Jibu: kwa maslahi ya vijana wote wenye matamanio ya kuingia katika huu utumishi... Matamanio yao ya kuitumikia nchi yao ni matamanio memo na yanapaswa kuchochewa...

Umeuliza kwa nini nimeandika hisia zangu??

Jibu: Nafahamu kuhusu nilichokiandika hapa zaidi ya maneno haya unayoyaona nimeandika hapa... Ila kwa kuzingatia sheria za nchi na tamaduni za usiri wa idara hiyo siwezi kuandika kila kitu...

Hakuna ubaya wa kuandika utashi wako (unaweza kuita hisia ukipenda)

Unasema ni kosa hiki nilichoandika??

Jibu: sidhani kama unaijua hata sheria ya kuanzishwa kwa idara ya usalama wa Taifa... Nenda kaisoma ndipi utajua nini ni siri na nini si siri... Kipi kinapswa kuzungumzwa na kipi hakipaswi kuzungumzwa...

Unasema nina lengo gani??

Jibu: unarudia swali lile lile kila baada ya aya moja. Nimekujibu hapo juu...

Unauliza wapi nimeambiwa kuna haja ya kuwapa watu somo.

Jibu: sidhani kama unatambua haki na wajibu wa mwananchi wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Nenda kasome.

Niko tayari kuwajibika kama itajenga "myth" kwenye jamii?

Jibu: mimi ni muwajibikaji tangu siku ya kwanza natoka kwenye tumbo la mama yangu.

Na kama andiko hili lingekuwa na shida yeyote... Wahusika wenyewe wangenitaarifu mpaka muda huu... They know me... Na si Mara moja au mbili wameniambia nisiandike kuhusu kitu Fulani... So tutayamaliza wenyewe...

Mwisho..

Najua watu wa dizaini yako, najua unachojaribu ku-insinuate... Najua unataka watu wakuoneje, najua unataka watu wakuhisi wewe ni nani...

You are not.. Stop pretending.... Its pathetic!!

If TISS has a problem with me they have my number... Tutamaliza kiutu uzima... Wataniambia niondoe Uzi na nitaondoa... sio hizi ngonjera unazoleta hapa...

Siku njema..
 
Back
Top Bottom