Kwa kuweka namba yako tu hapa mtandaoni, wewe hufai hata kuwa mlinzi wa usalama wangu getini. Huko shule ulisomea ujinga? Kwanin hujali privacy yako? Kama unapotential unadhani watashindwa kukufuata PM?Nahitaji kuwa kwani nafikiri naweza tena napenda sana kushiiriki katika ujenzi wa taifa letu nikiwa na nafasi yangu kama msomi wa ngazi wa uzamivu na ninayetembelea mataifa mbalimbali. Najihusisha na sayansi ya asili na huku kwa kweli kunahitaji usalama na uzalendo sana kwani watanzania wengi ikiwa ni pamoja na viongozi wa taifa hudanganywa na watu wasio wazalendo kuhusu mambo ya maslahi ya taifa. Tafadhali nijulishe nifanye nini niweze kutoa mchango wangu kupitia usalama wa taifa. 0686997270
Mkuu aina hii ya kazi ni kama kuyaweka maisha yako kwenye kitanzi ukisubri amri ya kunyongwa ,ninawashauri vijana hii si kazi ya kuwekea malengo, May be itokee Kama acceedent...Yeah... Ajabu ni kwamba vijana wengi wanatani bila kujua uhalisia wa kilichomo ndani..
Pamoja mkuu
Hahahah... Shemeji wacha nikae kimya tu!Ahsante Shemeji.
Mimi ni Afisa Usalama wa Kabila langu. Haya Majukumu yananitosha. Hahaha, hayo mengine ya kujihangaisha sihitaji kabisa.
Well said mkuu..Nakubaliana na hoja zote, umeweza kuja na kitu tofauti na cha ukweli kwa wale wanaotaka kujiunga. Kwa wale wenye interest na IT yaweza kuwa rahisi zaidi-just develop hacking and forensics skills. Kuna shortage kubwa sana ya hackers nchini kwetu, shortage kubwa sana. Na uzuri unaweza kujifunza mwenyewe haya mambo kwa kutumia mtandao. Ila tambua you can't be a hacker overnight-it takes time and efforts. Kubali kupoteza hata miaka 4 ukijifunza na kupractice hacking.
Shukrani..Hongera sana bold
Kabisa mkuu..Mkuu aina hii ya kazi ni kama kuyaweka maisha yako kwenye kitanzi ukisubri amri ya kunyongwa ,ninawashauri vijana hii si kazi ya kuwekea malengo, May be itokee Kama acceedent...
Mkuu naona hadith na tungo za watu zinawavutia ila kiukwel uhalisia wake hata 95%Ya kile kinachozungumziwa hakiingii kwenye ukwel..
We haufai mpaka hapo,, kirahisi rahisi tu umeweka na mawasiliano yako hadharani
nimecheka hadi basi hata nami haikuniingia akili kuiona namba ya simuKosa la kwanza ni kuweka namba yako hadharani.
kosa lake la pili ni lipi mkuu??Mwacheni, kwani ninyi ndiyo mmepewa kazi ya kuwasaka wanaohitajika?We haufai mpaka hapo,, kirahisi rahisi tu umeweka na mawasiliano yako hadharani
Yeah nafikiri The Bold hapo kwenye point ya mwisho ameielezea nadhani ni kwa sababu ya hiyo tamaa ya pesa na ukosefu wa maadili..!!!Binafsi sioni ni kwanini watu wanataka kufanya kazi idara hii ya sasa. Wamefanya mambo gani ya kujivunia zaidi ya kulinda viongozi? Ni umaskini na ukosefu wa ajira tu ndo unaweza kumfanya mtu atamani kufanya kazi huko ili aje bar atutambie na kitambulisho chake cha 'bibi na bwana' huku Twiga wetu wanapanda ndege na watu wanauawa kama kuku huko Kibiti!
We unawajua wote waliopewa iyo kazi dada,,,labda miongoni mwa hao wanaompondaMwacheni, kwani ninyi ndiyo mmepewa kazi ya kuwasaka wanaohitajika?