Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Asante kwa nyongeza mkuu...

Japokuwa pia kwa kadiri ninavyofahamu kwenye situation nyingi (especially kwenye kudevelop asset kwa kazi/muda maalumu) hili linaweza lisiangaliwe sana.
Kwa kazi maalumu hata sifa zingine haziagaliwi kwan lengo likikamilika they can determine to be an asset of rid of it
 
NiPM mkuu nikupe namba ya Jack Beur..
Ahahaha..... Umenikumbusha kuna jamaa mmoja wa Afghanistan nilikutanae kwenye FB group la CIA, basi siku moja nimechangia kwenye post moja jamaa akatokea kunielewa ghafla akahisi labda mimi ni mjuzi sana na nnafahamu mengi kuhusu CIA, saa ngapi ajanifuata hadi inbox ananilazimisha nimsaidie ajiunge na CIA akanihadi mpaka na mkwanja kama nikifanikisha kumuunganisha.

Ngoja nije PM unipe namba ya huyo mjasisi aliyeshindikana na jua anamengi ntajifunza.
 
Yote ya yote kwa mujibu kwa the bold
Lazima uwe na original or vijisifa vya kuzaliwa vya kupenda n kutenda yote yaliyo elezwa hapo juu.
U can train and become good but not best
Unaweza bebwa but youmay be unwanted in most of missions
 
Niliwah kutamani hii Kazi kipindi fulani nilipenda sana kufatilia makala Za Nje haswa za secret service,CIA,M15/16,FBI na KGB mwisho nikaja kukugundua kuwa napoteza Muda wangu na kamwe hata nkifatwa Leo na Ma afisa usalama siko tayari kujiunga na Hio idara, Maisha ya kuishi ki wasi wasi ya nini Sijui ulikuwa Utoto na movies kutamani Kuwa Mwanausalama
 
lazima ujue huo uhuru "uliozaliwa" nao haukuibuka tuu from thin air na usiuchukue tuu for granted. labda huyo uliemjibu alifanya uchaguzi mbaya wa maneno ila point ni kua kuna watu ambao hutokuja kuwajua kamwe ambao wanahakikisha "unazaliwa" na uhuru na wanaparangana kila siku usiishi kwenye failed state
Haya mambo waambie watu wa kijijini na wasiosoma. Yaani wewe kwa akili yako taifa linajengwa na idara tu? Unaujua mchango wangu mimi kwa jamii? Yaani kwa akili zako unadhani kuna nchi inampa mtu 'freedom of expression'? Freedom of expression ni birth right. Ndo maana ikawekwa kwenye haki za binadamu. The only way you take it from me is when am dead! Kuna watu 'wanapewa' hii haki, sio mimi. Mimi nachukua au nakufa. Period.

Huwezi kunilazimisha niwakubali watu ambao akili yangu na matendo yao yanaonyesha bado hawajatekeleza wajibu wao sawia.
 
Yaani kwa akili zako unadhani kuna nchi inampa mtu 'freedom of expression'? Freedom of expression ni birth right.

Hiyo freedom of expression kuna watu wanaitamani lakini hawapati, unafikiri Sudani huko, Libya hawahiyaji, wanautaka siku kikinuka utaenda kudai haki zako huko mochwari uliza Tutsi na Hutus ilikuwaje. Kuna watu wanakupigania na wengine walikufa wakikutetea ili mdomo wako useme huo Uhuru. Kama ungekuwa Israel na ukamdhalau Moshe Dayan you were deserved to be killed
 
Kwa kiingereza kichafu kama hiki huna cha kunishauri.
 
Back
Top Bottom