CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
habari zenu wana jf nimewamis kwanza sikua vizuri sikuchache zilizopita ila mi nahitaji kufahamu kwa muda huu unawaza nin kwa kichwa chako?
Beibe nasty mke wa judgement asanteen saana
shostito mambo vp, mzima mpnz mbna hurudi kha. . . nimekumiss niaje!!!!!
beibe nasty mbona kama vile title ya thread yako ni kopi n pesti ya kwenye fesibook ila kwa kiswahili? whats on ur mind?
Heheeee leta fujo uone mabweee panakutoshanawaza jinsi serikali imefyatisha mkia ulimboka!
napiga mahesabu ya kumpiga ban Roulette,mwanamke gani hatongozeki? Powu powu,powuu powuu,kila ukimtega oh powu atajua,nikamwambia tukastarehe Maldives oh powu atajua,nimechoka.
something to do with Erotica?
Muda huu nawaza kunyoa!
Wapi wanyoa na kwa kutumia nin?
Nawaza kulima, mvua zishaanza kunyesha!
Mmmh! Nimekuelewa! Hiki ndiyo kile "Kilimo kwanza"
hongera !
Kazana !
Jitahidi .
Nisipojitahidi nitakula malimao ndugu yangu! Lol