unafikiria nin sasaivi???????

unafikiria nin sasaivi???????

Hubby popote ulipo nakuwaza wewe kwa wakati wote bhaaaaaaassssiiiii!
 
kwani beibe nasty kazi yake nini?

BeibeNasty vua miwani ya mbao! Unamana haya unayoulizwa nikujibie mie tena? Ntafanya kazi ngapi ?
Hebu mtoshe huyu jamaa! Si unajua kachanganyikiwa tangu majuzi "Ze Muhtasi katibu" amtoe nishai ! Kila kitu anauliza kwa mzio wa kutoswa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom