unafikiria nin sasaivi???????

unafikiria nin sasaivi???????

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
525
habari zenu wana jf nimewamis kwanza sikua vizuri sikuchache zilizopita ila mi nahitaji kufahamu kwa muda huu unawaza nin kwa kichwa chako?



Beibe nasty mke wa judgement asanteen saana
 
napiga mahesabu ya kumpiga ban Roulette,mwanamke gani hatongozeki? Powu powu,powuu powuu,kila ukimtega oh powu atajua,nikamwambia tukastarehe Maldives oh powu atajua,nimechoka.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi siwazi, nimeweka screen saver kwenye akili yangu. I'm saving it for something crucial..
 
Nawaza haka kabili hpa na machizi wote wamezima. ..
 
Nawaza wa kuhesabiwa nae nikiwa guest

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nimebaki mwenyewe hapa...nawaza KUPUNYETIKA...akili imekataa!
so nawaza kulala sasa!
 
Nawaza kumchomoka Waiter hapa Bar as bili imenizidi na hii mimalaya inakula kama nguruwe pori!
 
Nawaza kumchomoka Waiter hapa Bar as bili imenizidi na hii mimalaya inakula kama nguruwe pori!

Na wewe utakuwa wa kundi lao hilo unajua. Birds of the same feathers....
ila na wewe, bar umeenda kunywa ama kula?
 
Nawaza pesa ndani ya blanketi, kidume cha kichaga hiki. Lakini mwisho wa wote Mwanamke mzuri.
 
mnamambo eti gesti sensa , wengne bilikuzid plus malaya, wengne pesa ndan ya blanketi,basi tafran huyo mwenyw kuweka sikirin seva
 
Mi nisipokuwaza wewe mida hii , ntawaza nini tena?
Na nikiwazacho kwako sijui nikiseme ?
Laa!
Acha nifunike kombe ili wale watoto ambao mimba zao zilipatikana kunako mikesha ya Mwenge wapite!
 
Hahhahaha
Mi nisipokuwaza wewe mida hii , ntawaza nini tena?
Na nikiwazacho kwako sijui nikiseme ?
Laa!
Acha nifunike kombe ili wale watoto ambao mimba zao zilipatikana kunako mikesha ya Mwenge wapite!
 
mmh sielewi hawa jamaa wa sensa kama wataniona maana nina plan ya kushinda kwenye bus for the whole week
 
Back
Top Bottom