beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
- Thread starter
- #21
mmh sielewi hawa jamaa wa sensa kama wataniona maana nina plan ya kushinda kwenye bus for the whole week
Hahaaaaa mguuu pande mguu sawaa jaman makaran njoen msikie
mmh sielewi hawa jamaa wa sensa kama wataniona maana nina plan ya kushinda kwenye bus for the whole week
mmh sielewi hawa jamaa wa sensa kama wataniona maana nina plan ya kushinda kwenye bus for the whole week
Mi nisipokuwaza wewe mida hii , ntawaza nini tena?
Na nikiwazacho kwako sijui nikiseme ?
Laa!
Acha nifunike kombe ili wale watoto ambao mimba zao zilipatikana kunako mikesha ya Mwenge wapite!
Kwa akilinyako wewe, creen saver sio bomba. Hebu jaribu ku-format hiyo kichwa yako uone mambo yatakavyokunyookea!
habari zenu wana jf nimewamis kwanza sikua vizuri sikuchache zilizopita ila mi nahitaji kufahamu kwa muda huu unawaza nin kwa kichwa chako?
Beibe nasty mke wa judgement asanteen saana
ninawaza mawazo
jamani punguzeni kumchuna powu,mtamuua baba wa watu kwa presha.Actually it is to do with you. Nataka kukupiga mzinga wa kama milioni kumi tuuu! Ntakurudishia Paw akirudi kutoka abroad
jamani punguzeni kumchuna powu,mtamuua baba wa watu kwa presha.
haha madame B banaNawaza jinsi sensa itakavyonikutia Gesti.
hahhahaha kweli upo ambitiousNawaza ntahesabiwa na karani wa sensa mwanamme au mwanamke??Akiwa mwanamke,je, atakuwa mweupe au mweusi?
Inawezekana Bwana akajibu sala zangu kupitia #Sensa2012.
Akiwa kama avatar ya mdada fulani humu JF,akimaliza tu maswali yake na mimi namuuliza,will you marry me?? Just thinking-out-loud-and-lazily..
Nawaza ntahesabiwa na karani wa sensa mwanamme au mwanamke??Akiwa mwanamke,je, atakuwa mweupe au mweusi?
Inawezekana Bwana akajibu sala zangu kupitia #Sensa2012.
Akiwa kama avatar ya mdada fulani humu JF,akimaliza tu maswali yake na mimi namuuliza,will you marry me?? Just thinking-out-loud-and-lazily..