Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Status
Not open for further replies.
Magamba bwana hamuishiwi vituko. Hicho chama nafikiri ni RPF! Lol
 
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.

Unafiki ni nini?

Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.

Kutumika na chama cha kisiasa kuna ubaya gani? Na unajuaje kwamba "anatumika" na chama cha siasa, na si kwamba wana malengo sawa na chama hicho?

Mimi sina chama cha siasa, na wala siamini katika "kutumika" na chama cha siasa. Lakini nikikuta CHADEMA wameandaa rally kupinga corruption na kudai transparency zaidi kutoka serikalini, nikajiunga nalo katika hilo, utasema "natumika na chama cha siasa"?

Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza.

Nani alikwambia huyu ndiye mesiha aliyesubiriwa kukemea mambo yote yahusuyo haki za binadamu? Mambo hayo nyeti wewe umeyafanyia kazi gani? Angalia usimseme mwenzako kwa unafiki huku wewe mwenyewe hujafanya kitu na hivyo hata madai yako ya unafiki yakawa ya kinafiki vile vile.


Did you even bother to google before posting your thread?

Polisi wamtosa Kibanda

Home

HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?

Akitoa tamko makosa, asipotoa makosa.Ukichimama nchale, ukilala nchale.


Kwa nini unataka mtu mmoja ainuke katika kila tukio? Amekuwa mungu wa kihindi?

BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?

Unajuaje kama haki za binadamu anazotetea huyu pamoja si pamoja na haki za kibunge za "parliamentary privilege" zinazoruhusu mbunge kujieleza anavyojisikia bila uhuru wa prosecution wakati akifanya kazi zake za kibunge?

Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?

Kudhalilishwa kwa mujibu wa nani? Utakaposema wewe kudhalilishwa wengine watasema "kitu bna box".

Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.

Utamaduni wa ukondoo Wtanzania wa leo tushauchoka. Utamaduni pia hubadilika na wakati.

UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?

Oldest trick in the book, ad hominem attacks.Unashindwa ku attack hoja unaenda ku attack mtu.

Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.

Wananchi wapenda haki wana wajibu wa kupinga sheria dhalimu, civil disobedience goes back to Thoreau, Gandhi and Martin Luther King Jr. Sheria si lazima iwe haki, na wananchi wana wajibu wa kuzipinga na kuzibadilisha sheria dhalimu, na Pinda si mtafsiri wa sheria katika nchi inayofuata sheria na mihimili mitatu ya serikali yaani bunge, mahakama na utendaji, kwa nini ajivishe kazi ya kutafsiri sheria wakati mahakama zipo?

Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?

Utajuaje mtu hajatii sheria kabla tukio halijatokea?

ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?

Hata wadhalimu wa Kiingereza walipokuwa wanawapiga risasi waandamanaji wa kihindi waliokuwa wanadai uhuru wao, waliwapiga risasi kwa kisingizio cha "kuvunja sheria". Sheria kwa mtu mmoja inaweza kuwa ukandamizaji kwa wengine, kwa nini tukubali tu bila challenge?

HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.

Ad hominem attacks all over again. Inaoesha huna hoja. Hatuhitaji kutumwa na Kagame kuona kwamba serikali ya Kikwete na Waziri wake Mkuu Pinda ina boogie step on the daily.

Sasa Kiranga naye katumwa na Kagame?
 
answer is BIG YES, Na ana ID 13 humu ndani zote zikianza kupambana hapa utanzani watu 13. muache tu ajitekenye mwenyewe, ipo siku...

Wanajitengenezea ID nyingi ili wawe na uhakika wa bk7 za Lumumba!!!
 
Taswira umeandika hapa ili iweje? Wewe ndiye umeshtakiwa? Unaelewa kwanza kwa nini huyo mtu kashtakiwa na yeye ni ana nafasi gani katika taifa? Usiwe adui wa wananchi!
 

Pengine ulikuwa motto au hujazaliwa....alipokufa KOLIMBA huyu mama alifuatilia sana pamoja na MTIKILA chanzo cha kufa KOLIMBA
 
Naomba msinifanye niamini kama hapa ni Tanzania. Huu ni unyama ambao hauwezi kuvumiliwa. na kama wakubwa wameona picha hii, naomba wasiamini kama hapa ni Tanzania.

Amini tu hii ndio Tanzania mpya ambayo akina taswira na wenzake wanaitetea kila kukicha.
 
PInda kwa uzoefu wake huko TISS wakunyamazisha watu na kuuwaua uishie huko huko hatuwezi kumuangalia anatumia kinga ya bunge kutoa amri ya kuua na kupiga wananchi Bi samba na wanasheria wa LHRC wamefanya vyema kumwambia Pinda hayuko juu ya sharia na hawezi kuamrisha kuumiza wananchi na watu wakanyamaza kushitakiwa kwake kumeweka presidency ya kumuonya amekuwa aroogant sana tangu alivyoamru DR Ulimboka auawe na madaktari wakasambaratika anadhani ndio mpango wa maisha
 

Wachaaa weee, kweli leo utapewa zaidi ya kawaida, nafikiri leo wamekupa double i.e Tshs. 14,000/= Kweli eeeh????????. KWELI FEDHA FEDHEHA. Tunamjua Dr. Hellen Kijo Bisimba, aindika utakavyo lakini ndio kesi imeshafunguliwa. TAFUTA JINGINE.
 
Ccm ninavyowajua mimi angeshiriki mtu wa chama pinzani matukio uliyoyataja angetuhumiwa mauaji,ujangiri na utesaji kwa hilo tu ni cheap propaganga

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Akili zako zinakotosha wewe mwenyewe
 
ungesema bayana kwamba kwenye hili povu lako ulikuwa unakilenga CHADEMA na sio kutapatapa

LHRC haina uhusiano wowote na CHADEMA. Chimbuko la kituo hiki ni chama kingine kabisa. Kwa hiyo kama Bisimba angetumika labda angetumiwa na chama hicho kingine. Hata hivyo kwa sasa LHRC ni autonomous kabisa.
 

Ulivyo na chuki umeonyesha ignorance na insenstivity ya hali ya juu hadi unashindwa kuandika jina halisi.Anaitwa Bisimba na sio Bi.Simba.Jifunze kuandika jina la mtu unayemfanyia utafiti otherwise you are just exposing your ignorance here.
 

Ulivyo na chuki umeonyesha ignorance na insenstivity ya hali ya juu hadi unashindwa kuandika jina halisi.Anaitwa Bisimba na sio Bi.Simba.Jifunze kuandika jina la mtu unayemfanyia utafiti otherwise you are just exposing your ignorance here.
 
answer is BIG YES, Na ana ID 13 humu ndani zote zikianza kupambana hapa utanzani watu 13. muache tu ajitekenye mwenyewe, ipo siku...

Ndio maana tulishatoa hoja kwa wakuu kwamba I.D ziwe zinalipiwa maana mtu mmoja ana I.D zaidi ya 10, amelipia shilingi ngapi mwaka huu tangu uanze au ameweka lengo la kulipia kiasi gani? na hayupo peke yake, wakiwa watu 10 kama taswira ndio maana hela ya kujiendesha kwa mwaka haifiki hata nusu ya lengo. WAKUU TAFADHALI KILA MWANACHAMA ALIPIE I.D YAKE. Kama hawezi basi abaki kuwa guest na restrictions za guest ziwekwe wazi. TUTABEBANA HATA LINI?????????????
 
Ulivyo na chuki umeonyesha ignorance na insenstivity ya hali ya juu hadi unashindwa kuandika jina halisi.Anaitwa Bisimba na sio Bi.Simba.Jifunze kuandika jina la mtu unayemfanyia utafiti otherwise you are just exposing your ignorance here.

Na sio hilo tu, anaitwa Dr. Hellen Kijo Bisimba ( ana Phd ya sheria ). TAARIFA.
 
Huyu kijo bisimba pamoja na chama chake cha chadema hakuna mwenye mtazamo hata mmoja na kibaya zaidi waliowengi ni wajane kwa kuanzia na kijo mwenyewe kwa hiyo mda wote anawaza umbea tu.

which means wajane wote mda wote wanawaza umbea?????kama huna hoja ya msingi ya kuongea si ni bora ukakaa kimya....wot a shame statement.??
 

Mimi sinahaja ya kujitambua kwa hilo ila jamii ninayoitumikia ndiyo inayojua umhimu wangu hapa duniani nadhani ushanipata.

a) Kwenye red hapo juu, hujitambui wala hujuwi unafanya nini, unadhani kati ya hao na wewe nani kichaa?

b) kama watu wa mtwara unawaita wahuni ni jamii gani hasa unayoitumikia

-wezi wa EPA, Meremeta, Deep green, Rada, Richmond, kinana na tembo, mafisadi nk-hawa ndiyo unaowatumikia.
 
Mtoa mada, naona kama unataka kutupotosha,hebu nenda kajipange upya...Ni kama mtoto wa darasa la pili,kutaka kumfundisha mwanafunzi wa Udaktari(MUHAS) biology
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…