Taswira
Sidhani kwamba unauwezo kamili wa kutathimini, kutafakali na kuchambua mambo mbali mbali hususani siasa na haki za binadamu
Kibanda
Unaushahidi wowote kuthibitisha tuhuma zako kwa Bisimba na hicho chama cha siasa? Hapa hakuna hoja yoyote zaidi ya majungu na propaganda za kipuuzi za akina Nape, Mwigulu, Kinana na malehem mtalajiwa ccm. Kama wewe na ccm yako mnaushahidi nendeni mahakamani
Kifo Cha Ally Zona
Kama unadhani polisi na ccm hawa kuhusika wewe ni mpuuzi tu wala utanzania wako haunamaana kwa walengwa na waathirika wa vipigo na mauwaji ya utekelezaji wa mikakati ya ccm kupitia polisi na Jeshi
-Kombe aliuwawa na polisi Arusha
-Kolimba aliuwawa Dodoma-ccm
-Mwangosi kauliwa na polisi
-Ally zona kauliwa na Polisi
-Ccm imeuwa Igunga, Ndago-Singida, Usariver-Arusha, mabom ya soweto-Arusha nk
Pinda na matukio
-liwalo na Liwe, ulimboka chali
-Wapigwe, watu wanapingwa nakuuliwa
Pinda na uwongo
-chadema na mkasa wa Arusha, rejea maelezo ya G. Lema
-Jairo na rushwa-wizara ya nishati na madini nk,nk
Kwa kifupi mama Bisimba na timu yake wapo sahihi 100%. Tunahitaji viongozi wanaoheshim watanzania, maana wanatuendesha kwa kodi zetu na sisi ndio tuliowaweka madarakani. Viongozi aina ya pinda ni mizigo wamelewa madaraka na hawatufai kabisa. Ccm kupitia wajinga hawa akina Pinda, Mwigulu, Nape, kinana nk haitufai na kuipigia debe ni uupuzi kama kumuimbia maiti mziki ukitraji atainuka kucheza