Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Status
Not open for further replies.
Taswira na magamba wenzako TULIENI SINDANO IINGIE PANAPOUMA..Pinda pia katumiwa na chadema kuitoa kauli ile.
 
Kumbe wewe sina muda wa kuchangaia, vip umeshatoka likizo jimboni au bado huku huko..
ila jiandae mapema kwa nchi utakayokwenda 2015 kwa makazi.
 
..... mkubwa kama huyu.

UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?....
Hapo kwenye red ......kitu kama hujui bora ukae kimya tu......au ndiyo kujitoa ufahamu.....angekuwa mnyarwanda angeachwa mpaka leo atambe......uhamiaji wangeisha mtimua......
 
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.......
BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?....

Mtwara jwtz.jpg

Kwa andiko lako hivi kwa kauli yake ambayo inasababisha wananchi kuteswa kama vile ni majangiri na wahaini kama picha inavyojieleza hapo juu wewe unaona ni sawa tu?
Hapo kwenye RED ni wapi ulipoambiwa Sugu alimtukana PM Pinda kama ingekuwa ni tusi sidhani kama mahakama ingemuachia, kwa hiyo unatakiwa utambue neno aliloongea Sugu limehalalishwa na mahakama kwamba sio tusi.
 
Hii nayo ni post au umbeya? A lot of gossiping. Hakuna hata sehemu moja ambayo unaweza kusema ni habari maana haina ushahidi wa anachozungumza! Watanzania matatizo yetu yapo kwenye ubongo. Huyu anashindwa kutofautisha madhara ya kauli mbaya ya kiongozi wa ngazi za juu na kauli ya mwananchi au kiongozi wa kawaida. Mwananchi wa kawaida anaweza kusema kuwa kuanzia leo watu waongo kama huyu aliyeleta hii porojo akipatikana auawe, na haitakuwa na madhara yoyote, lakini kutatokea nini kama Rais akasema kuwa naagiza watu waongo na wanaoleta post za kipuuzi kama hii tunayoijadili watafutwe na wakipatikana wauawe? Watu wasio na hoja siku zote badala ya kujadili hoja huleta upuuzi kama huu. Hoja hapa ni je, Pinda kama kiongozi wa ngazi ya juu wa serikali alistahili kutoa kauli kama ile? Na vyombo vya dola ambavyo Pinda ameviagiza kuwapiga wanaokaidi amri kutatokea nini katika Taifa letu? Maana hata mhalifu, akipatikana polisi huweza kutumia nguvu ikilazimu kwa lengo la kumfikisha kwenye vyombo vya sharia. Polisi hana mamlaka ya kutoa adhabu kwa mhalifu yoyote yule, ni mahakama pekee yake. Ni kauli ya kipuuzi kabisa aliyowahi kutolewa na kiongozi mkubwa kama waziri mkuu kuwapa polisi uwezo wa kuwahukumu na kuwaadhibu wahalifu kwa kuwapiga. Pinda ameonesha udhaifu wa hali ya juu kiuongozi na mtu wa namna hii akiachwa aendelee anaweza kuleta maafa makubwa nchini. Kauli ya Pinda ipingwe na wote wenye akili na wenye nia njema na Taifa letu, ikibidi afukuzwe hata kutoka kwenye nafasi aliyo nayo.
 
Kama Pinda hana kosa kisheria itajulikana mahakamani, na kuhusu matukio ya morogoro na Mwangosi si polisi walifanya uchunguzi matokeo ya uchunguzi huo yalitoka? Na kuhusu Absalom Kibanda ukweli ameanza kuutoa yeye mwenyewe, hataki asemewe na mtu! Kama unafuatilia vizuri vyombo vya habari, leo tu alikuwa kwenye marudio ya kipindi cha Jenerali on Monday. Amesema ukweli wake na jinsi ilivyokuwa siku ya tukio na akasema kisa hasa cha kuteswa kwake ni kalamu yake na si kingine.
Akasema watakaji walikuwa wanaambizana "AFANDE PIGA RISASI, AFANDE PIGA RISASI" Na pia akasema kuna rafiki yake wa karibu anayefanya kazi kwenye taasisi nyeti hapa nchini ya kulinda usalama alishawahi kumtahadhalisha ya kwamba awe makini sana anapokuwa anarudi nyumbani na anapokuwa anaingia getini kwake. Na akatahadharisha kwamba kuna watu wanaotaka kulipotosha jambo lake, waache! Na anashangaa kuona zaidi ya siku 100 sasa hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa.
Mtoa mada acha kutetea uovu.
 
Huna tofauti na jeshi la polisi linalo mshambulia mbowe personally kwa tamko la kamati kuu alilotoa awali.

Legal and Human Right Centre ni taasisi, na Helen Kijo-Bisimba ni mtendaji ndani ya taasisi hiyo.
Sasa wewe unavyomshambulia Helen Kijo-Bisimba personally kwa kazi inayofanywa na taasisi ni upuuzi uliopitiliza.

Hivi nyie watumwa wa Mwigulu Nchemba tutawafundisha siasa mpaka lini muelewe????

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nadhani muda mwingine MODS kunafaa kuwe na heshima kwenye Jukwaa hili.Madai mengine ya kipuuzi kama haya mnayaacha yanaendelee bila sababu na kusababisha kupotea maana halisi ya Forum hii (JF)

Kusema kweli kama nia ya Jukwaa hili ni kuleta na kuendeleza mawazo ya kujenga jamii basi mabandiko kama haya lazima wahusika watoe maelezo yakutosha na vielelezo si kuja na Shabulizi zisizo na mbele wala nyuma kwa mtazamo wangu.

Watu kama hawa siku ya siku wanafaa kufikishwa mbele ya Haki kueleza vizuri Madai yao.

Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.

Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza. ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.

BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?

HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?

ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua wameshajulikana.

BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.

UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?

Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?

HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.
Hapo kwenye RED ningekuona wa maana kama ungezungumzia yule Msomali hasiye na uchungu wa Rasilimali zetu kwani anawaua Tembo wetu na wakiisha atarudi kwao Somalia na kutuacha bila Tembo.
 
Ni kosa la jinai kujadili kesi iliyoko mahakamani nje ya mahakama. Acha sheria ichukue mkondo wake. Au ndiyo kusema sheria ni kwetu tu walala hoi, ikifika kwa wakubwa inakata kona???????
 
View attachment 105369

Kwa andiko lako hivi kwa kauli yake ambayo inasababisha wananchi kuteswa kama vile ni majangiri na wahaini kama picha inavyojieleza hapo juu wewe unaona ni sawa tu?
Hapo kwenye RED ni wapi ulipoambiwa Sugu alimtukana PM Pinda kama ingekuwa ni tusi sidhani kama mahakama ingemuachia, kwa hiyo unatakiwa utambue neno aliloongea Sugu limehalalishwa na mahakama kwamba sio tusi.

Mkuu hii picha imeniliza, kweli tumefika huko kweli, juzi li Nchimbi Nkuruma lilibisha sasa sijui likiona litasemaje.
 
We ndiyo mnafiki usiyejali hata mamako unamtetea alivunja katiba kwa kuamrisha dola. Acha uwendawazimu.
 
Taswira utumiaji wa akili mlegezo ni hatari sana.unaamini katika utii wa sheria bila shuruti?
viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia sheria na kutafsiri sheria wanakiri watu wanabambikiziwa kesi na kuteswa.unadhani utii wa sheria kandamizi unawezekana?hii ni kauli iliyofeli hata kabla ya utekelezaji.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu hapa kwao sheria na mahakama zinakuwa zimetenda haki kama matokeo ya hukumu yamekuwa yako upande wao.

Kuiomba mahakama ingalie migongano ya sheria na katiba pale wanasiasa na wafanyakazi serikalini wanapokuwa wanatekeleza shughuri zao za kiofisi na kufanya maamuzi mbalimbali ni tofauti na mashitaka na kushitakiwa.

Waziri mkuu hajashitakiwa na wale wenye akili za bavicha wanaokenua meno kwa kufikiri ameshitakiwa siyo kosa lao.

"Since the Prime Minister is an MP he can't be sued but if LHRC wants to go to the court they can do so because the court is the body that interprets the laws," said Mr Joel.

Hatutawashangaa mkianza kulalamika pale matokeo yatakapokuwa vinginevyo kwa vile hamfahamu hata kile mnachokishabikia.
 
Kauri ya pinda haikuvunja sheria yoyote huyu mama anasumbuliwa na njaa tu,tena pinda anapaswa kila anapohutubia aitoe hakuna kucheka na wajinga sasa hivi.
 
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.

Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza. ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.

BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?

HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?

ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua wameshajulikana.

BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.

UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?

Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?

HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.

vp pm kutoa public statement kwamba...."tumechoka....".....acha hii ya kupiga raia hivi kweli hii ni kauli sahihi kwa public figure kama huyu?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom