Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Status
Not open for further replies.
Mkuu taasisi gani itaendelea kama hakuna driving force hasa ya man power?
BI.SIMBA pale alipo ndio taasisi ya haki za ninadamu.Yeye nabeba taasisi ndio maana ikiyokea taasisi imekwenda mrama kama hivi yeye anakuwa responsible.Pia kumbuka Kijo Bi simba ni mtendaji mkuu ndani ya Taasisi hiyo.

PLZ rudi darasani kasome Organization Theory
Jamani naomba nieleweke katika hili tatizo la heleni na tundu lisu ni moja kama hawajatibiwa mda si mwingi wanaweza kuvaa nguo kichwani heleni siku hizi anahongwa mpaka kumi elfu ili atetee chama chake na kuichafua serikali ila hatafanikiwa na panga ambalo limetumika kukata mapembe ya wahuni wa mtwara lielekezwe kwake atatulizwa tu.
 
Taswira anachowinda hapo ni bk 7 ya siku + laki 2 mwisho wa mwezi. Wachangiaji wa mada wanavyokuwa wengi ndiyo anazidi kupata uhakika wa hiyo laki 2 vinginevyo kwake haijalishi kama mnamponda kwa ----- aliopost ama la.
Kinywa daima hunena yaliyo moyoni ni ishara tosha kuwa chadema ndivyo wanavyokufanyia.
 
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.

Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza. ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.

BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?

HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?

ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua wameshajulikana.

BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.

UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?

Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?

HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.[aliyekutuma amechemsha, we ni Adui wa haki?
 
mkuu wanapigwa tuu
wanapelekwa hospitali hakuna huduma nzuri maisha yao yanakuwa hatarini
tunataka pinda ashitakiwe tumechoka
Wakuu hapa kijo bisimba alikuwa anafanya nini watalamu wa haya mambo twambieni.
 
Jamani naomba nieleweke katika hili tatizo la heleni na tundu lisu ni moja kama hawajatibiwa mda si mwingi wanaweza kuvaa nguo kichwani heleni siku hizi anahongwa mpaka kumi elfu ili atetee chama chake na kuichafua serikali ila hatafanikiwa na panga ambalo limetumika kukata mapembe ya wahuni wa mtwara lielekezwe kwake atatulizwa tu.

Unajitambua na kuheshim uwepo wako hapa dunian hususan Tanzania?
 
Historia inaonesha kuwa watu wenye meno mengi huwa na matatizo hasa ya kibiolojia ingimwangalia vizuri huyu mama meno yamejaa mdomoni mengine sijui ya nini.
 
Mkuu taasisi gani itaendelea kama hakuna driving force hasa ya man power?
BI.SIMBA pale alipo ndio taasisi ya haki za ninadamu.Yeye nabeba taasisi ndio maana ikiyokea taasisi imekwenda mrama kama hivi yeye anakuwa responsible.Pia kumbuka Kijo Bi simba ni mtendaji mkuu ndani ya Taasisi hiyo.

PLZ rudi darasani kasome Organization Theory

Wee naye rudi kasoma, kwani kisimba pale ni Taasisi...( LHRC is separate legal Inst.) kasome MGT THEORY kitabu cha fayol.
 
Huyu mtu anayeitwa Hellen
Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.

Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo
nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza.
ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa
hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata
mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha
moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha
za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.

BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa
Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?

HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu
unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi
lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?

ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa
chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona
hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye
patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana
hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua
wameshajulikana.

BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana
waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje
kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio
utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi
mkubwa kama huyu.

UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika
kudhoofisha serikali yetu?

Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya
Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu
kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima
ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa
watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?

HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA
KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.

Dosari ya analysis yako ni pale unapo jishusha na kutuhumu Chama badala ya kusimamia hoja yako kwa muhusuka.

The Good thing of the whole issue ni kuwa TANZANIA IMEANDIKA HISTORIA KWA WAZIRI MKUU kuburuzwa mahakamani. The message here is simple, huu ni ushindi na demokrasia tosha kuwa ALL SHOULD BEHAVE ....!
 
Mtoa mada mbona hukusema serukamba alipotukana mother f**k Naye ampeleke mahakamani
 
Unajitambua na kuheshim uwepo wako hapa dunian hususan Tanzania?
Mimi sinahaja ya kujitambua kwa hilo ila jamii ninayoitumikia ndiyo inayojua umhimu wangu hapa duniani nadhani ushanipata.
 
kama anatumika au anatumikia sisi atujui unajua mwenyewe na ndugu zako kawaulize uenda watakujibu kama akili yao pia ni ndogo kama yakwako watu kama nyie mna matatizo makubwa.
 
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.

Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza. ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.

BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?

HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?

ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua wameshajulikana.

BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.

UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?

Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?

HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.

Reasoning nzuri ni pale mtu anapotoa hoja na kuweza kui'support'. Sasa wewe unaotoa hoja na unashindwa kui'support' na kisha unahitimisha. Sasa namna ya kutoa hoja kwa namna hii umejifunzia wapi? There is no rational argument in what you have said, boy!
 
Taswira ni mpu..mba..vuu zaidi ya pinda
 
Last edited by a moderator:
Mbona povu linakutoka hivyo?

Huku kwetu Gari la Polisi linaitwa Farasi Mweupe, Kuna ONe TeN na Cruiser kibao zina Rangi nyeupe, Tena ni Marufu kwa Mauaji hizi Gari.
 
Mimi sinahaja ya kujitambua kwa hilo ila jamii ninayoitumikia ndiyo inayojua umhimu wangu hapa duniani nadhani ushanipata.

Unatumikishwa na jamii ya wezi, wahujumu wa rasilimali za nchi na walanguzi wa mihadarati japo pengine hujajitambua katika hilo ama umepigwa upofu kwa masazo unayorushiwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom